Search results

  1. Bilionea kid

    REUBEN KIGAME: Mwimbaji wa gosple mkali kuliko wote Africa

    Hili halina ubishi huyu jamaa anatalanta ya kipekee sana Licha ya kuwa hana uwezo Wa kuona tangu kuzaliwa kwake (KIPOFU) Lakini anauwezo MKUBWA Wa kupiga vyombo vingi vya mziki Sauti yake ni ya kipekee na ya tofauti sana hafanani na mwanamziki yoyote yule Reuben kigame ni mkenya anaishi...
  2. Bilionea kid

    East africa got talent

    Wakuu ile show ambayo nilikuwa ikingojewa kwa hamu kubwa imeanza sasa EAST AFRICA GOT TALENT 2019 Mashindano haya yakusaka vipaji yanafanyika nchini Kenya nakurushwa na baadhi ya television CLOUDS TV /CITIZEN TV /UGANDA TV nk Kama ulimiss basi cheki episode ya kwanza ya huyu mtoto Wa miaka 7...
  3. Bilionea kid

    SISTER MARRY hatimae imeachiliwa...

    Wakuu mambo vipi ile movie ya sister marry iliyofungiwaga na body ya filamu Tanzania Kisa haina maadili inadhalilisha kanisa katoliki hatimaye imeachiwa huru Daaah! Movie moja kaliii sana Humu ndani yupo Irene uwoya/johari/ray Imetengenezwa na kampuni ya RJ company (ray&johari
  4. Bilionea kid

    FRIDGE INAUZWA (hot point)

    Fridge inauzwa haina tatizo lolote Ni frijii aina hot point Ipo arusha Bei 550k (mazungumzo yapo) Kwa maelezo zaidi Au piga simu namba 0753 315 521 Kaibuni
  5. Bilionea kid

    Car4Sale Subaru Forester INAUZWA

    For sale Subaru forester new model 2008 inauzwa Ipo arusha kwaanaye hitaji tuwasiliane Bei: Mil 24 Tafadhali kwa maelezo zaid njoo Au phone number +255 757 191 906 PM +255 757 191 906
  6. Bilionea kid

    Jinsi ya kufanya kupunguza unene wa mwili kwa haraka

    Nichukue wasaa huu kukuarika rasmi ewe mpenzi na mfuatiliaji wa THREAD zangu naomba nichukue walau dakika zako chache niweze kukueleza kinagaubaga ni kwa jinsi gani unaweza kupunguza mwili wako kwa kutumia hatua zifuatavyo: 1. Zingatia muda wa kula. Watalamu wa masuala ya afya wanasema muda...
  7. Bilionea kid

    Unaifamu hii movie??

    Wakuu mko pow? Nadhani nipo jukwaa sahihi Wakuu nimeitafuta hii movie bila mafanikio tafadhali anaye ifahamu naomba aniambie hii movie inaitwaje jina tuu latosha mimi nitaifuta online Natanguliza shukrani! [emoji120][emoji120] Sent from my TECNO WX3 using Tapatalk
  8. Bilionea kid

    Jinsi ya kutumia Tapatalk

    WAKUU mambo vp? I hope mko pow? Mm nilikuwa naomba kujuzwa jinsi yakutumia Tapatalk app maana hii app ya JF inazinguwa R.I.P Kibonde
  9. Bilionea kid

    Upo nyonyo??

    MANGE: upo nyonyo CCM: nipo titi CDM: upo mtindi 💪💪💪💪💪💪💪💪
  10. Bilionea kid

    Jamanii!!.. kilicho nikuta mimi leo duuh! nihatare!!

    Sinilipita mitaa ya ungalimited chuga basi bwana mambo yalikuwa kama hivi... Si te pido un beso, ven, dámelo Yo sé que estás pensándolo Llevo tiempo intentándolo Mami, esto es dando y dándolo Sabes que tu corazón conmigo te hace "bam-bam" Sabes que esa beba está buscando de mi...
  11. Bilionea kid

    MAAJABU YA HII PICHA

    HIZI TAWALA MBILI ZA SAFARI HII ZINA VITUKO SANA halafu hawa watu wawili zabia zao zinafanana
  12. Bilionea kid

    Picha: Korea Kusini ni nchi inayoongoza kwa watu wanaofanya upasuaji wa kubadili mwili(plastic surgery)

    Korea kusini, ndio nchi inayo ongoza Duniani kwa Raia wake kufanya plastic surgery (matengenezo ya mwili), ili kuleta muonekano mzuri kwao. Hii picha imekuwa gumzo sana mitandaoni, kutokana na wanawake hawa kufanya matengenezo ya mwili ili kuwa na muonekano mzuri Unaambiwa katika hii picha uyo...
  13. Bilionea kid

    Huyu ndiye mtangazaji mrembo kuliko wote Tanzania

    Anaitwa meena ally ni mtangazaji wa clouds FM binafsi Mimi nampenda namkubali Anakipaji kikubwa sana alafu pia ni mrembo hanaga maringo
  14. Bilionea kid

    Hivi hawa Tecno mnawaelewa?

    Eti upeleke tecno camon CX wakupe cammon 11 uwape na hela kidogo Akili kumkichwa.. Tecno Camon 11 390k tecno camon CX 420k sasa hapo kubwa ni ipi????
  15. Bilionea kid

    Fahamu masuala mbalimbali kuhusu ugonjwa wa Homa ya ini (Hepatitis B)

    HOMA YA INI (HEPATITIS B) Kwa tafiti chache zilizofanyika mpaka sasa imegundulika kuwa kati ya watu 117 ni mtu 1 tu anakuwa ameathirika na virusi vya UKIMWI/VVU lakini ni watu 22 wanakuwa wameathirika na HOMA YA INI sawa na asilimia 18.8% lakini pia vifo vinavyosababishwa na homa ya ini kwa...
  16. Bilionea kid

    Njia ya kutambua kama unadukuliwa kulingana na aina ya simu au kifaa unachotumia kuperuzi facebook

    JINSI YA KUFAHAMU KAMA ACCOUNT YAKO YA FACEBOOK INADUKULIWA. Njia hii haitakupatia jina la mdukuaji, bali kutambua kama unadukuliwa kulingana na aina ya simu au kifaa unachotumia kuperuzi facebook. FANYA HIVI Nenda juu kabisa kwenye facebook yako, upande wa kulia kabisa, hapo kuna vimistari...
  17. Bilionea kid

    BUNGE LA TAIFA LA KENYA (FROM TANAZANIA)

    Habari zenu wanajamii Mimi ni member kutoka Tanzania naomba niwakumbushe kuhusu bunge LA Kenya Bunge la Taifa ni chumba cha chini cha Bunge la Kenya. Kabla ya Bunge la 11, hilo lilikuwa bunge la chumba kimoja, na mpaka mwaka 1966 la vyumba viwili. Lina jumla ya viti 349: kati yake, 290 ni vya...
  18. Bilionea kid

    Mchaga Na Mganga

    Mchaga Na Mganga Mchaga; Maganga Nimekuja Kwako Naugonjwa Kutosikia Radha Kitu Chochote Mapema Mganga; Usijaliumefika Lipia Laki Moja Tu Mchaga Akatoa Mara Mganga; Kijakazi Letechupa Namba 23 Kijakaza Akaleta Mganga; Kunya Dawa Mchaga Akanya Mchanga; Mbona Mikojo Chali Yangu Mganga ;umepona...
  19. Bilionea kid

    STORY-PENZI LA MSHUMAA (sehemu ya 1)

    STORY-PENZI LA MSHUMAA MTUNZI-FREDIRICK M.MZIRAY SEHEMU YA 1 Malumbano yaliendelea kati ya Denis na wazazi wake pale nyumbani kwao.Mzee Mwamba na mkewe Bi Asma hawakutaka kabisa Denis amuoe Shaimaa.Walisisitiza kuwa msichana huyo hakuwa na sifa za kuwa mke wa kijana wao.Hivyo walimshupalia Denis...
  20. Bilionea kid

    Wasomi na ndoto za abunuasi

    ****Tafakari ya leo****** "WASOMI" NA NDOTO ZA ABUNUASI Hebu vuta picha,namna ulivyosota kuipata hiyo degree yako. Miaka isiyopungua 16 imeteketea darasani! Umebeba vidumu na ufagio kama wafagiaji wa jiji ukiwa shule msingi. Umepiga jaramba maili kadhaa kuifata shule.Umekumbana na kashkashi za...
Back
Top Bottom