East africa got talent

East africa got talent

Bilionea kid

JF-Expert Member
Joined
Oct 19, 2018
Posts
581
Reaction score
520
Wakuu ile show ambayo nilikuwa ikingojewa kwa hamu kubwa imeanza sasa EAST AFRICA GOT TALENT 2019

Mashindano haya yakusaka vipaji yanafanyika nchini Kenya nakurushwa na baadhi ya television CLOUDS TV /CITIZEN TV /UGANDA TV nk

Kama ulimiss basi cheki episode ya kwanza ya huyu mtoto Wa miaka 7 kutoka Uganda

  • Thanks
Reactions: Lee

Uganda wanajitahidi sana ,hata wa leo wa drums he deserves
 
Back
Top Bottom