Search results

  1. Mzee Shirimaa

    Mpka Sasa Yanga hawajui wafanye nin.

    Tukiwambia mje na daftari na pen Simba ikicheza mnaleta kiburi .... Wachezaji wanaruka ruka Kama njegere. Na lazima mpigwe faini au kufungiwa uhuni mliofanya kwa wageni pale uwanjan kabla hawanaingia uwanjan Ni aibu kwa taifa.
  2. Mzee Shirimaa

    Sensa 2022 Arusha Kuna nini?

    Top ten ya mikoa yenye watu wengi Arusha haionekani . Nakumbuka Siku ya kwanza ya sensa Tukio la kwanza la wakala wa Sensa kupigwa roba Kali Sana ya misumari na kunyanganywa Kishikwambi ilikuwa pale Unga limited. Mdada wa watu alipigwa roba Kali Sana na wale vijana wasio na meno mdomoni...
  3. Mzee Shirimaa

    Yanga mlidhani tarehe 2 mbali?

    Ile kupigwa Kama ngoma ndo kesho. Yanga niliwambia msim huu mtapanda ndege Mara mbili tu baada ya Apo Ni mwendo wa Bus Yutong , bajaji, boda, bolt. Mngepanda ndege walau Mara tatu lakin wale wasudani wakaharbu mipango wakacheza hapa kwetu home and away. Morrison naskia anatuma msg kila sku...
  4. Mzee Shirimaa

    Weekend vibe

    Nko chimbo napata whiskey mbili tatu ..vijana wanapiga mziki mzuri moyo wangu unafurahi , mama yenu anafuraha pia Vijana siku hzi mmekua marefa shingoni filimbi haikosi usku . Vijana wanapanda juu ya meza Kama hawana akili. Madem wa chuo tuko sambamba . Wkend vibes Cask apa nimekaa
  5. Mzee Shirimaa

    UVCCM Mwanza wapigana mitama live

    Nilikuwa najiuliza ni kwanini vijana wa CCM hasa wakati wa chaguzi huwa kila mmoja amevaa buti refu Kama la mgambo huku wakiitana kamanda, sasa leo nimepata jibu . Ebana Leo nikiwa naenda mitaa ya Kirumba Pale Lakairo hotel kupata Lunch nikaona kundi la watu wengi wakizozana haraka haraka...
  6. Mzee Shirimaa

    Wapi Chimbo la spea Arusha?

    Msaada Ni wapi nitapata duka la spea la uhakika Arusha Nahitaji taa ya nyuma Harrier New modern vijana wanaita "tako la nyani " taa kipisi Cha kwenye bodi. Anaejua na bei atakua amenisaidia zaidi.
  7. Mzee Shirimaa

    Arusha tuliujua Kama mji wa kitalii ila kwa niliyoyaona umekuwa mji wa machinga toka Dar

    Arusha tuliujua Kama mji wa kitalii ila kwa niliyoyaona umekuwa mji wa machinga toka Dar. Nimeingia Arusha Jana jioni Mji umekuwa wa ovyo sana Town Kati kila chocho, barabarani machinga wamejazana tu najiuliza machinga wa Dar mbona Kama ndo wamehamia Arusha? Maana nakumbuka kipindi kile hiace...
  8. Mzee Shirimaa

    BoT tayari wametoa majina ya walioitwa kwenye 'Aptitude Test'

    Benki kuu wametoa majina tyari i
  9. Mzee Shirimaa

    Nahitaji Apartment Mwanza maeneo Isamilo

    Nahitaji Apartment Mwanza maeneo isamilo, Capri point, Ghana, Bwiru..maeneo karbu na mji Iwe na wifi, ulinzi wa kutosha, TV vyumba vitatu au viwili Ni sawa ,jiko nakaa siku 7 tu.
  10. Mzee Shirimaa

    Maisha haya tunapita. Maisha ni fumbo

    Leo nimepata taarifa za kuondokewa na kaka yangu wa karibu sana, mtoto wa Bamdogo. Mara ya mwisho kukutana nae ilikua ni mwaka jana ambapo tulikutana huko kwetu kijijini kwenye msiba wa Dada yetu (mdogo wake) ambae alitutoka mwaka Jana! Huyu Kaka yetu mwaka jana aliumwa akawa serious aliekua...
  11. Mzee Shirimaa

    CRDB Sasa Basi!

    Hawa jamaa ni wapuuzi Sana hii benk sio ya kuweka hela yako aiseee. Kuna mteja wangu juzi kanipigia simu Kuna balance nilikua namdai anataka nimtumie account namba anayoweza kufanya malipo...nikamtumia account Yangu ya Crdb kwa sababu nilikua busy jion ndo nilipata muda wa kuangalia salio...
  12. Mzee Shirimaa

    Ratiba yangu ya Jumatatu

    Ratiba yangu ya Jumatatu nimepanga nitaamka asubuhi na mapema niende kupiga passport size kwa ajili ya Bima ya afya Rais Magufuli aliyotuahid kutupatia kila mwananchi. Nimeona nizipate mapema ili isje kutokea usumbufu wowote hapo mbele. Weekend yangu nimeitumia kufanya usafi wa nguo zangu...
  13. Mzee Shirimaa

    Msaada kwa ndugu yangu anasumbuliwa na fanags kwenye mapafu

    Habari Wana Jf Nina Ndugu Yangu Ni mwaka wa nne Sasa anasumbuliwa na Ugonjwa wa Lungs fungal infection ( fangasi kwenye mapafu) ameteseka Sana na huu ugonjwa kauza kila kitu lakin bado mambo ni mazito ana familia na watoto wawili familia inamtegemea bado. Mwenye kujua Dawa au sehem sahihi ya...
  14. Mzee Shirimaa

    Napata kikohozi na mafua nikinywa pombe, tatizo nini?

    Ndugu zangu naomba msaada weekend iliyopita nilipiga pombe sana, ratiba yangu ya kunywa bia ni kuanzia Ijumaa mpka Jumapili ila nimepata tatizo moja weekend iliyopita nilipiga Sana vyombo asubuhi nikaamka nina kikohozi na mafua, nikanywa dawa za kikohozi siku mbili kila kitu kikatulia. Nilijua...
  15. Mzee Shirimaa

    Guinness my bia..

    Guinness a.k.a Vega, Muboroboro. Ni bia imported foreign extra yenye kilevi Cha 6.5v/v Ni bia nimeanza kutumia miaka Saba iliyopita hakika Ni bia iliyopikwa ikachemka na kutokota ikapoa ikachujwa kwa umakin wa Hali ya juu karbu tupate. Wale wadau nawaonaga wanaomba Ushauri Ni jinsi gani...
  16. Mzee Shirimaa

    Acheni kuwanyanyasa wafanyakazi wa ndani

    Chauma oyeee..! Kumekuwa na katabia kabaya kwenye familia zetu kuwanyanyasa Hawa wasaidizi wa ndani kuwaona wao ni wakosaji kila mara ...pale binadam tunakosa ubinadam kabisa kuwatenga ,kuwanyima chakula Kama njia ya kuwa adhibu pale wanapokosea Niwakumbushe wote ambao mnakaa na Hawa watu...
  17. Mzee Shirimaa

    Naomba muongozo jinsi ya kua wakala wa mizigo ya meli

    Wadau kwema? Naomba mtu anaeweza nipa A,b,C namna ya kuanza biashara ya kua wakala wa mizigo kwa meli yetu pendwa New Mv Victoria.
  18. Mzee Shirimaa

    Tuombeane wakuu huyu Corona analeta wenge hatari

    Naitafuta wiki ya pili sasa sijui ni huyu mdudu Futa amebisha hodi kwangu au ni nini ilianza kama homa hvi ya jion nikawa naipuuzia nikidhani ni uchovu tu. Jumapili iliyopita siku hyo nilikua nimeshinda garage nikatoka nimechelewa ikabid nipite Bar nimalizie wkend ila mwili nikawa bado siuelewi...
  19. Mzee Shirimaa

    Natafuta mtaalamu wa kutengeneza Application

    Wadau natafuta mtu professional anaetengeneza application: iOS, Android, tukae round table tuongee biashara. Karibu Sent using Jamii Forums mobile app
  20. Mzee Shirimaa

    Nakodisha Gari Aina ya Toyota pick up double cabin new model

    Habari wana JF kama kichwa cha habari kinavyo jieleza nina Toyota pick up double cabin new model naikodisha dereva ni Mimi mwenyewe.Napatkana Mwanza Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom