Wapi Chimbo la spea Arusha?

Mzee Shirimaa

JF-Expert Member
Sep 12, 2018
1,539
3,440
Msaada Ni wapi nitapata duka la spea la uhakika Arusha

Nahitaji taa ya nyuma Harrier New modern vijana wanaita "tako la nyani " taa kipisi Cha kwenye bodi.

Anaejua na bei atakua amenisaidia zaidi.
 
Msaada Ni wapi nitapata duka la spea la uhakika Arusha

Nahitaji taa ya nyuma Harrier New modern vijana wanaita "tako la nyani " taa kipisi Cha kwenye bodi.
Anaejua na bei atakua amenisaidia Zaid.
Nenda Denso, duka lipo kwenye fremu za uwanja Sheikh Amri Abeid opposite na Corn electronics

Au hapo hapo jirani kuna jamaa anaitwa Saka...Denso na Saka spea zao ni genuine kwa hiyo uandae mbavu nene..

Ukikosa nenda maduka ya wachaga Wasangi street almàrufu kama kariakoo...huko Utakutana na Ceman na Mramba na wwngineo weeengi...ukikosa nenda December, kule wanachinja magari yaliyopata ajali ila kuna madalali na wana kera balaa....wanadalalia mpaka oil chafu
 
Nenda Denso, duka lipo kwenye fremu za uwanja Sheikh Amri Abeid opposite na Corn electronics

Au hapo hapo jirani kuna jamaa anaitwa Saka...Denso na Saka spwa zao ni genuine kwa hiyo uandae mbavu nene..

Ukikosa nenda maduka ya wachaga Wasangi street almàrufu kama kariakoo...huko Utakutana na Ceman na Mramba na wwngineo weeengi...ukikosa nenda December, kule wanachinja magari yaliyopata ajali ila kuna madalali na wana kera balaa....wanadalalia mpaka oil chafu
Shukran mkuu
 
Msaada Ni wapi nitapata duka la spea la uhakika Arusha

Nahitaji taa ya nyuma Harrier New modern vijana wanaita "tako la nyani " taa kipisi Cha kwenye bodi.
Anaejua na bei atakua amenisaidia Zaid.
Nenda makao mapya kwa Senya na Sanawari kwa Sadaam Motors
Chinja chinja ndio Kila kitu
Taa kwa Denso hii bei ya taa moja utanunulia taa zote kwa Senya (used)
 
Hata huyu Senya nasikia ana vitu vingi..sijawahi kufika kwenye ofisi zake
 
Back
Top Bottom