BoT tayari wametoa majina ya walioitwa kwenye 'Aptitude Test'

Vijana mlioomba kazi Fungueni website ya BOT mnahitajika kwa aptitude Test kuanzia Jumatatu November 01 2021

Sijaona jina lolote la mtoto wa kigogo kama mlivyofikiria,

Nawatakia vijana maandalizi mazuri
 
Majina gani.
Mambo yamebadilika sana

Enzi zetu kazi kama hizi wanaangalia GPA za watu shule na wanapelekwa moja kwa moja kazini

Zamani mtu mwenye GPA kubwa kila Faculty siku hizi mnaiita college mara sijui School hasa wale waliosoma Udsm miaka hiyo ilikuwa anachagua awe Lecture au aende BOT

Mimi wakati huo wenzangu wanasoma Udsm nikaenda zangu Kuwa mwana CCM, Nilitake Risk lakini the higher the Return kwa sasa
 
Hongera mkuu, sahivi ni waziri wa wizara gani?
 
Vijana mlioomba kazi Fungueni website ya BOT mnahitajika kwa aptitude Test kuanzia Jumatatu November 01 2021

Sijaona jina lolote la mtoto wa kigogo kama mlivyofikiria,

Nawatakia vijana maandalizi mazuri
Siku hzi kuna mbinu mpya imeundwa...wataitwa interview ila wataoitwa kazini ndo majina yanapandishwa so husijiridhishe nowadays imekithiri sana jarbu kufatilia...wanaoingia kazini sometimes majina hayapo hata on drafts za interviews washawajua watanzania mdanganyika kirahisi katika majina 10 wataoajiriwa unakuta 4 wamechomwekwa au hata 6
 
Utasikia tu watu washaanza training ila majina ya kuitwa kazini sehem kama hzi wanayalimit ndani kwa ndani
 
Siku hzi kuna mbinu mpya imeundwa...wataitwa interview ila wataoitwa kazini ndo majina yanapandishwa so husijiridhishe nowadays imekithiri sana jarbu kufatilia...wanaoingia kazini sometimes majina hayapo hata on drafts za interviews washawajua watanzania mdanganyika kirahisi katika majina 10 wataoajiriwa unakuta 4 wamechomwekwa au hata 6
Are you sure na hiki unachokisema mkuu? Do you have proofs sehemu waliyowahi kufanya hivo?
 
Siku hzi kuna mbinu mpya imeundwa...wataitwa interview ila wataoitwa kazini ndo majina yanapandishwa so husijiridhishe nowadays imekithiri sana jarbu kufatilia...wanaoingia kazini sometimes majina hayapo hata on drafts za interviews washawajua watanzania mdanganyika kirahisi katika majina 10 wataoajiriwa unakuta 4 wamechomwekwa au hata 6
Si wanafanyaga audit mkuu sidhan kama wanaweza fanya mchezo wa kizembe namna hii especially bot yani waje watu wengine from no whre ata kwenye mchakato hawakuwepo? Hapana uu ni uongo
 
Back
Top Bottom