Msaada kwa ndugu yangu anasumbuliwa na fanags kwenye mapafu

Mzee Shirimaa

JF-Expert Member
Sep 12, 2018
1,539
3,440
Habari Wana Jf

Nina Ndugu Yangu Ni mwaka wa nne Sasa anasumbuliwa na Ugonjwa wa Lungs fungal infection ( fangasi kwenye mapafu) ameteseka Sana na huu ugonjwa kauza kila kitu lakin bado mambo ni mazito ana familia na watoto wawili familia inamtegemea bado.

Mwenye kujua Dawa au sehem sahihi ya kupata matibabu please Tunaomba huo msaada Amezunguka hospital nyingi bila mafanikio
Ahsante.
 
Fungus kwenye mapafu?? Kashatumia dawa gani labda maana fungus zisizosikia dawa ikiwemo Injection kama Amphotericin B au Fluconazole inawezekana Yupo immunocompromised ndugu...!! Ebu ajaribu kutafuta Vidonge vinaitwa Itraconazole japo kwa ugonjwa wake kwa kweli Anahitaji hospital care sana.
 
Fungus kwenye mapafu?? Kashatumia dawa gani labda maana fungus zisizosikia dawa ikiwemo Injection kama Amphotericin B au Fluconazole inawezekana Yupo immunocompromised ndugu...!! Ebu ajaribu kutafuta Vidonge vinaitwa Itraconazole japo kwa ugonjwa wake kwa kweli Anahitaji hospital care sana..
Ahsante Rikiboy
Aliandikiwa vidonge 60 itraconazole ameshamaliza lakin bado na Sasa ameambiwa atumie Fluconazole zipite kwenye drip kwa siku 20 kwa kila drip Ni elfu 8500 ndo tunapambana Kaka
 
Habari Wana Jf

Nina Ndugu Yangu Ni mwaka wa nne Sasa anasumbuliwa na Ugonjwa wa Lungs fungal infection ( fangasi kwenye mapafu) ameteseka Sana na huu ugonjwa kauza kila kitu lakin bado Mambo Ni mazito ana familia na watoto wawili familia inamtegemea bado
Mwenye kujua Dawa au sehem sahihi ya kupata matibabu please Tunaomba huo msaada Amezunguka hospital nyingi bila mafanikio
Ahsante.
Ongea nae ajipange, niwaunganishe na daktari bingwa wa mapafu Muhimbili hapo.
 
Ahsante Rikiboy
Aliandikiwa vidonge 60 itraconazole ameshamaliza lakin bado na Sasa ameambiwa atumie Fluconazole zipite kwenye drip kwa siku 20 kwa kila drip Ni elfu 8500 ndo tunapambana Kaka
May b itamsaidia lakini AMPHOTERICIN B ni best choice kwa antfungal injection sema sababu haipo may b hiyo Fluconazole injection inaweza msaidia.. Poleni sana.
 
Back
Top Bottom