Search results

  1. Mtalingolo

    Tuelimishane wakuu katika hili swala

    I want some tips from you guys on how women entrepreneurs can promote gender mainstreaming in small business. I just want to write an article based on that. thanks in advance.
  2. Mtalingolo

    Inawezekana kuscan document alafu ukaiedit???

    Wajumbe inawezekana kuscan hard to soft copy afu ukaiedit scanned document?? msaada tafadhali
  3. Mtalingolo

    Tengeneza mkwanja fasta hapa

    http://themonthlyjob.com/?refcode=756
  4. Mtalingolo

    Ushauri wako ni muhimu hapa

    Wakubwa nafikiri niliwahi kuweka bandiko hapa kwawanaokumbuka wakati naenda kuanza chuo mwaka 2011. Yaah namshukuru mungu mwakani naweza kugraduate na mimi nikachukua kadiploma kangu ka civil, sasa wadau naomba ushuri wenu kuhusu degree yangu nikasome nini, maana napenda nikasome civil tena, ila...
  5. Mtalingolo

    Ushauri wako ni muhimu hapa

    Wakubwa nafikiri niliwahi kuweka bandiko hapa kwawanaokumbuka wakati naenda kuanza chuo mwaka 2011. Yaah namshukuru mungu mwakani naweza kugraduate na mimi nikachukua kadiploma kangu ka civil, sasa wadau naomba ushuri wenu kuhusu degree yangu nikasome nini, maana napenda nikasome civil tena, ila...
  6. Mtalingolo

    A story of SPERM!!

    There is this Sperm named Zipo, Zipo is always doing exercise, running jogging and jumping and when its fellow sperms ask him why he always trains, he will simply tell them that he is doing it so that he can be able to outrun them and be the one to fertilize the egg any day the time comes. A day...
  7. Mtalingolo

    Hili janga linatisha jamani... Must read...

    Mimi ni () naishi mwenge Dar es salaam naomba utalifuta jina la baba yangu maana sitaki liwe kwenye blog watu watanijua na kuniangamiza maana nimeshawaangamiza wengi sana kwa UKIMWI ila mengine yote usifute hata moja ili dunia ijue tu japokua mimi nitakufa kwa huu ukimwi nilionao...
  8. Mtalingolo

    Swali lakizushi...

    Ashakum si matusi ndugu zangu. Nadhani wengi tunauzoefu na vyumba vingi vya vyoo dimension zake, Sasa assume chumba cha choo kingekuwa na ukubwa wa rumu yako unayolala, ungekuwa huru kujisaidia.??
  9. Mtalingolo

    Salam zangu za dhati kwenu...

    Nawasalim ndugu zangu wote wa Jf wanaonifaham na wageni pia, namic sana topic na michango yenu. Kiukweli shule inabana lakini tuko pamoja jamani. HAPPY BOXING DAY...
  10. Mtalingolo

    Erick Mwakilozi ndani ya bongo...

    Jamaa akitoka geto kwake majira ya asubuhi, chezea clouds wewe? Wamembwaga humo ndani mchizi.
  11. Mtalingolo

    Nimemfananisha na member flan hivi wa Jf..

    Ila simkumbuki vizuri jamani, anamfaham amtaje basi... Asubuh njema wana Jf wote
  12. Mtalingolo

    Swali kwa Jf member wote na wa Tz kwaujumla...

    Ikiwa wanafunzi waliofauru darasa lasaba na kujiunga na kidato chakwanza hawajui kusoma wala kuandika, Je hao waliofeli hali itakuwaje??? Hii inaweza kuingia kwenye maajabu saba ya Afrika....
  13. Mtalingolo

    Sasa je inakuwa??

    Ni swali ambalo wengi wetu tumelitumia/tunaendelea kulitumia tunapokuwa tunataka kuanzisha mahusiano. Hebu kwa mtazamo wako na uzoefu wako itolee maelezo hii picha
  14. Mtalingolo

    Will you Marry me Snowhite??

    Jaman natangaza nia kwa mwanadada Snow white, kuthibitisha hilo nataka nimvishe kabisa pete hii...
  15. Mtalingolo

    Sijui tuite maajabu au miujiza?

    Ng'ombe akutwa juu ya paa lanyumba mitaa ya kati...
  16. Mtalingolo

    Freemason

    Je hiki ni kipimo tosha cha kuwa mjenzi huru a.k.a freemason??
  17. Mtalingolo

    Wapi tena bro "B52"?

    Naona unaitafuta chalinze hapo
  18. Mtalingolo

    Hebu tujadili wadau..

    Wengi tumekuwa tukisikia, kujaribu, kuona, kuwahi ama kushawishi kwa namna moja ama nyingine juu ya suala zima la kutoa mimba. Kunamambo mengi yanayoweza kupelekea mtu akafikia uamuzi wakutoa mimba, kwa kuangalia hizo sababu zote zinazopelekea watu kutoa mimba tujadiliane kuhusu madhara...
  19. Mtalingolo

    Kwa wenye ujuzi.

    Habari wana jf, naombeni msaada wenu katika hili... Nilikuwa naomba kuuliza ni zipi dalili za awali za mtu alie pata mimba?? Lakin pia ningependa kujuzwa maumivu ya tumbo one day after having sex inaweza kuwa ni dalil yakuwa mtu umepata ujauzito?? Je mimba inachukua muda gan kujishkiza...
  20. Mtalingolo

    Salamu...

    "SALAM kitu azizi katika hii dunia" "SALAM hujenga penzi watu wakafurahia" "SALAM yake mwenyezi waja twafuatilia" "SALAM tokea enzi zama zilo tangulia" "SALAM si upuuzi wahenga walitwambia" "SALAM sio hirizi waganga kukupatia" "SALAM sio kitanzi ikaweza kukuua" "SALAM wala si tezi...
Back
Top Bottom