Mtalingolo
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 2,181
- 410
Wakubwa nafikiri niliwahi kuweka bandiko hapa kwawanaokumbuka wakati naenda kuanza chuo mwaka 2011.
Yaah namshukuru mungu mwakani naweza kugraduate na mimi nikachukua kadiploma kangu ka civil, sasa wadau naomba ushuri wenu kuhusu degree yangu nikasome nini, maana napenda nikasome civil tena, ila kunamwalimu wangu wa construction management anatushauri sana juu ya kusoma procurement degree kwamba ikosokoni sana katika soko la ajira.
Naombeni ushauri wenu wakubwa katika hili,
nawasilisha.