Mtalingolo
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 2,181
- 409
Hapo ushaimba nyimbo zako zote na mashairi yote yasiyo na vina wala mizani na ushajitolea sifa zako zote sasa swali unauliza
Je amezisikia nyimbo zako na mashairi yako
Inakuwaje sasa
Yuko tayari au bado uendelee kuimbisha
View appearance! Wadani'discus Biology!
Huenda topic consist human reproduction , that's why kijibinti ndy kikawa na hivyo viabu vya kimagirini , kwa pozi la kidole kwa mdomo .
Kwishaaa
Mhh...demu (mwanafunzi wa form 4 D Jangwani sec) anawaza nikimkubali haraka ataniona malaya nikiendelea kumkatalia atakata tamaa aende...dah!
Hapo unakuta dogo kwao mashariki lakn kamsindikiza dogo Mangaribi huku anatema cheche tu. Teh teh teh.
Ndo zako hizo eeh? N'shakujua....lol!
mwanzoni mwa somo huo mti ulikuwa na majani kibao...ila kwa majani yaliyobaki naona sasa somo limeeleweka