Nimemfananisha na member flan hivi wa Jf..

Nimemfananisha na member flan hivi wa Jf..

Mtalingolo

JF-Expert Member
Joined
Aug 4, 2011
Posts
2,181
Reaction score
410
Ila simkumbuki vizuri jamani, anamfaham amtaje basi...
Asubuh njema wana Jf wote
 

Attachments

  • Bread....jpg
    Bread....jpg
    24.8 KB · Views: 95
Boflo kabebwa sawa, huyo aliembeba ni nani?
Mi namuhisi mtu ila naogopa kutolewa manundu,lol
 
fanya mazoezi sana. huo mkate umekosea kuuweka. kivuli cha mtu kipo kulia na kivuli cha mkate kipo kushoto. jitahidi sana kutengeneza picha tofauti tofauti. mia
 
Back
Top Bottom