Kwa wenye ujuzi. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa wenye ujuzi.

Discussion in 'JF Doctor' started by Mtalingolo, Jul 22, 2012.

 1. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #1
  Jul 22, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Habari wana jf, naombeni msaada wenu katika hili...

  Nilikuwa naomba kuuliza ni zipi dalili za awali za mtu alie pata mimba??
  Lakin pia ningependa kujuzwa maumivu ya tumbo one day after having sex inaweza kuwa ni dalil yakuwa mtu umepata ujauzito?? Je mimba inachukua muda gan kujishkiza kwenye ukuta wake mara baada ya wanandoa/wapenzi kukutana kimwili??

  Naomba kuwasilisha.
   
 2. Kennedy

  Kennedy JF-Expert Member

  #2
  Jul 22, 2012
  Joined: Dec 28, 2011
  Messages: 11,345
  Likes Received: 2,984
  Trophy Points: 280
  Mkuu hebu pekua vzr ktk jukwaa kuna thread moja haya unayouliza yamejibiwa vizuri na@Mzizimkavu. Pamoja na wataalam wengine!
   
 3. Preta

  Preta JF-Expert Member

  #3
  Jul 22, 2012
  Joined: Nov 28, 2009
  Messages: 24,113
  Likes Received: 3,036
  Trophy Points: 280
  Mtally Mtally.....umefanza nini sasa......? utakomajeeeeee.......
  anyway....kila mtu ana dalili zake.......wengine hawana dalili kabisaaaaa.....anashangaa mimba ndiiiii......hii hapa......
  mimba unaweza kugundua baada ya wiki 3 na kuendelea nadhani.......sijui sana......
  lakini cha muhimu.....subiri kama period ikidon't.....seek medical advice.......sawa eeeh.......

   
 4. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #4
  Jul 22, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  nashukuru mkuu ngoja nijaribu kupekua, au niwekee link yake.
   
 5. Mtalingolo

  Mtalingolo JF-Expert Member

  #5
  Jul 22, 2012
  Joined: Aug 4, 2011
  Messages: 2,188
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 135
  Nashukuru preta, sijafanza kitu bhana, ila niswali ambalo rafik wa g.f wangu kaniuliza coz ana two days toka akutane na mpnz wake na kaanza kuumwa na tumbo mpaka anaogopa.
   
Loading...