Mtalingolo
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 2,181
- 410
Wajumbe inawezekana kuscan hard to soft copy afu ukaiedit scanned document?? msaada tafadhali

Inawezekana kama wakati wa kuscan au baada ya kuscan utasave scanned document yako kwenda .TIFF .JPG .PNG format. Kisha utatafuta OCR (Optical Character Recognition) software ambayo itabadili herufi za picture format kuwa Typed document. Software kama Microsoft Office Document Imaging itakusaidia kuweza kufanya kazi yako kirahisi. Kikubwa hakikisha document unayoiscan inaonekana vizuri.
Wajumbe inawezekana kuscan hard to soft copy afu ukaiedit scanned document?? msaada tafadhali
Unataka kufoji document mkuu? Lol
Nataka kurekebisha tu mkuu sio kufoji bhana
Poa mkuu haina neno.
Wajumbe inawezekana kuscan hard to soft copy afu ukaiedit scanned document?? msaada tafadhali
Scan kama OCR iende katika muundo wa Word or text