Mtalingolo
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 2,181
- 410
Nawasalim ndugu zangu wote wa Jf wanaonifaham na wageni pia, namic sana topic na michango yenu. Kiukweli shule inabana lakini tuko pamoja jamani. HAPPY BOXING DAY...
Nawasalim ndugu zangu wote wa Jf wanaonifaham na wageni pia, namic sana topic na michango yenu. Kiukweli shule inabana lakini tuko pamoja jamani. HAPPY BOXING DAY...
Kaka za masiku...?Sisi wazima ila hata kabla siku haijaisha hapa uso ushanivimba kwa kupigwa sana makonde siku hii ya "Boxing Day"...
Pamoja sana mkuu.... Tafadhali usiondoke jukwaani bila kuacha kura yako kwa charminglady.... Happy boxing day to youuuu!!!
Sijambo bro, habari za siku mingi? BAGAH kapotelea wapi au ndo mwanza kuuza sato?
Hahahaaa pole xana bro, jipake amira utakuwa poa soon
pamoja daima mwanadafada, ngoja nkavote fasta.