Mtalingolo
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 2,181
- 410
"SALAM kitu azizi katika hii dunia"
"SALAM hujenga penzi watu wakafurahia"
"SALAM yake mwenyezi waja twafuatilia"
"SALAM tokea enzi zama zilo tangulia"
"SALAM si upuuzi wahenga walitwambia"
"SALAM sio hirizi waganga kukupatia"
"SALAM sio kitanzi ikaweza kukuua"
"SALAM wala si tezi operesheni kutiwa"
"SALAM si ngumu kazi ushindwe kutumikia"
"SALAM ikiwa wazi thawabu hujivunia"
"Assalaamu alaykum"
. Wana JF....
"SALAM hujenga penzi watu wakafurahia"
"SALAM yake mwenyezi waja twafuatilia"
"SALAM tokea enzi zama zilo tangulia"
"SALAM si upuuzi wahenga walitwambia"
"SALAM sio hirizi waganga kukupatia"
"SALAM sio kitanzi ikaweza kukuua"
"SALAM wala si tezi operesheni kutiwa"
"SALAM si ngumu kazi ushindwe kutumikia"
"SALAM ikiwa wazi thawabu hujivunia"
"Assalaamu alaykum"
. Wana JF....