Mtalingolo
JF-Expert Member
- Aug 4, 2011
- 2,181
- 410
Hapo piga ua itakua Sumbuwanga (sumbawanga) au Pemba, kama sio Bagamoyo! Au Gambush !
Mbona kawaida sana hiyo,huku kwetu pande za namanyere hatuoni ajabu
kama mimi mwenye nyumba nahama mudahuohuo
Hahahaaa kwanin mkuu?? Labda paa lako linanyasi?
Duuh wanitisha mkuu, sasa huwa mnaweka ngazi ili hao viumbe wapande?
kwa usafi ule wa mende huwezi unaweza usiamini kama anaishi chooniMbona kawaida sana hiyo,huku kwetu pande za namanyere hatuoni ajabu