Search results

  1. K

    Wanawake, mnaweza kukaa muda gani pasipo kukutana kimwili na mwanaume?

    waambieee kuna mambo mengi ya msingi yakuwaza
  2. K

    Wanawake, mnaweza kukaa muda gani pasipo kukutana kimwili na mwanaume?

    shida ni kua kila mtu ana namna yake kuna anayeweza kukaa mwezi kuna mwingine siku tu hawezi kupitisha sembuse wiki na kuna mimi ambae sasa huu ni mwaka wa pili naenda wa 3 sijawahi kutana na mwanaume kwa hiyo majibu utayapata lkn ndio kwa kila mtu ka namna yake
  3. K

    Wanawake, mnaweza kukaa muda gani pasipo kukutana kimwili na mwanaume?

    sio matatizo kila kitu ukiamua kinawezekana shida tunaendekeza sana uzinzi mm huu ni mwaka wa pili na niko naishi
  4. K

    Mjali sana baba yako au mama yako hata kama alikukimbia

    inategemea na huyo baba na huyo mama wamefanya yawapasayo kufanya
  5. K

    Mjali sana baba yako au mama yako hata kama alikukimbia

    uhai anatoa Mungu na si mwanadamu
  6. K

    Mjali sana baba yako au mama yako hata kama alikukimbia

    jino kwa jino huwezi otesha mbegu shambani utegemee istawi bila kumwagilia maji au keweka mbolea sahau ukipanda mbegu itunze ili istawi vema ije ikupe mazo bora sio utegemee mazao bora pasipo kutunza haitoshi tu kumwaga mbegu shambani then uende alafu utegemee siku mmoja urudi ukavune unavuna...
  7. K

    Jokate Mwegelo kubeba mimba bila ndoa katika Utumishi inatoa taswira gani kwa unaowaongoza?

    kuna wakati sisi binadamu tunajikuta miungu watu hivi niulize vile umeona kibanzi kwenye jicho la mwingine vipi hiyo boriti iliyo kwenye jicho lako please itoe kwanza kabla hujaona kosa la mwingine ni vema ukaona kosa lako ni vile sisi hatukujui wewe ndio maana lakini yawezekana una magumu zaidi...
  8. K

    Uteuzi wa Hoyce Temu kuwa Balozi na uelewa wetu kuhusu mabalozi

    ungesoma hiyo post hapo juu yote basi ungepata wazifa wake maana umeelezewa wote tuache uvivu wa kosoma
  9. K

    Daniel Lema wa Safina redio

    ungekaa kimya nakuhakikishia ingekuletea heshima zaidi kuliko ulivyoandika maana ukweli ni kuwa hakuna ambaye ni mtoto anayeenda kununua vile vitu ni watu wazima wenye akili zao na utashi na hawajalazimishwa na mtu yeyote wakati mwingine kabla hujaandika jambo jiulize mara mbilimbili hili...
  10. K

    Kitu gani kinakupa uhakika kuwa unapendwa kweli na mwenza wako?

    upendo unaambatana na kujali huwezi kumjali mtu kama humpendi maana upendo ndio unamsukuma mtu kumjali mtu
  11. K

    Daniel Lema wa Safina redio

    online naona hawapo tena wanapatikana yutube na instargram
  12. K

    Mke ni mama wa watoto wako, tafadhali wachagulie kilicho bora

    umeongea jambo zito na la maana sana mwenye kusikia na asikie wanaume muwe na huruma kama unajua huna malengo na binti flani achana naye
  13. K

    Rais Samia Suluhu akiendelea kumkumbatia Majaliwa na Baraza lake Serikali yake haitofanikiwa, Hawana jipya

    Ila watanzania tu wanafiki sana na ni HERI MCHAWI KULIKO MNAFIKI. Tuache unafiki ukiona jambo ulitakalo haliendi mfuate yule unayejua anahusika mwambie rekebisha hapa habari za kutakamwenzio ashushwe pale alipo na unajua kabisa wewe uwezi kwenda kukaa hapo unafaidi nini
  14. K

    Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

    ndivyo ilivyo sijui kwa nini watu wema hupitia kwenye hizi hali kwa kweli
  15. K

    Nimeamini upole hausaidii chochote kwenye mahusiano

    hiyo ni both kwa wanaume na wanawake
  16. K

    TANZIA Katibu Mkuu Kiongozi, John W. Kijazi afariki dunia

    sikitika huku ukichukua tahadhari
  17. K

    Rais Magufuli akifanya mambo haya, Watanzania watamlilia wenyewe aongezewe muda wa kutawala

    Mh Rais yeye mwenyewe kasema hataki kuongezewa muda na mbona twamlazimisha etii hata afanye nini muda wake ukiisha asepe
Back
Top Bottom