Jokate Mwegelo kubeba mimba bila ndoa katika Utumishi inatoa taswira gani kwa unaowaongoza?

Mtu mwenyewe cha pombe upo Bar umelewa unaona nyota tu, mambo ya maadili ya taifa kama katika uongozi utayaelewa vipi.
Yani mnaojikutaga walokole huwa mnaroho mbaya sana.. mkuu mtoto ni baraka na kingine jifunze kuheshimu maisha binafsi ya mtu mwingine

Tukisema tuanze kukaguana watoto wa nnje ya ndoa unaweza kuta hata wewe ni wa nnje ya ndoa mkuu

Live your life.. kunastress nyingine ni za kujitafutia man
 
Nakushauri upendekeze suala la uzinzi,ulevi n.k visiwekwe kwenye ethics na conduct za mtumishi wa umma,hasa mwandamizi.Tuokotage tu watu na kuwapa vyeo,mambo mengine ya ni yao privately,au unaonaje hiyo?
 
Yani mnaojikutaga walokole huwa mnaroho mbaya sana.. mkuu mtoto ni baraka na kingine jifunze kuheshimu maisha binafsi ya mtu mwingine

Tukisema tuanze kukaguana watoto wa nnje ya ndoa unaweza kuta hata wewe ni wa nnje ya ndoa mkuu

Live your life.. kunastress nyingine ni za kujitafutia man
Bwana Amigoh, ni nini maana ya walokole'?
 
Mjue Binti yupo anakata miaka kuelekea 40 yrs na dalili za kuolewa hazioni ,,,,Sasa huenda kajaribu Mbegu kibao hazioti at last kakuta seedco genuine gusa inase.Tumuache na tumuombee uzazi salama maana changamoto za uzazi siku hizi ni nyingi na complicated sana
 
Hakuna kumungunya maneno hatuwezi kuendelea kuongozwa na Kiongozi asiye na maadili ya utumishi, anayetarijiwa Kupata mtoto nje ya ndoa, atawashauri nini na kuwafundisha nini mabinti zetu mashuleni, ambao wengi wao wanamchukulia kama role model wao.

Jamii na Watumishi wenzake anaowasimamia watamchukuliaje?, Kiujumla tayari kapoteza sifa za kuendelea kushika wadhifa huo.

Mh. Rais tuletee DC mwingine Temeke mwenye maadili ya utumishi.

#Rais teua DC mwingine Temeke
kuna wakati sisi binadamu tunajikuta miungu watu hivi niulize vile umeona kibanzi kwenye jicho la mwingine vipi hiyo boriti iliyo kwenye jicho lako please itoe kwanza kabla hujaona kosa la mwingine ni vema ukaona kosa lako ni vile sisi hatukujui wewe ndio maana lakini yawezekana una magumu zaidi ya hayo unayoyaona kwa DC suala la ndoa ni la mtu na mtu wake wewe unaamini ndoa ni lazima uone wakiifuga embu watanzania tufanye yatupasayo bhana daaaah
 
Hakuna kumungunya maneno hatuwezi kuendelea kuongozwa na Kiongozi asiye na maadili ya utumishi, anayetarijiwa Kupata mtoto nje ya ndoa, atawashauri nini na kuwafundisha nini mabinti zetu mashuleni, ambao wengi wao wanamchukulia kama role model wao.

Jamii na Watumishi wenzake anaowasimamia watamchukuliaje?, Kiujumla tayari kapoteza sifa za kuendelea kushika wadhifa huo.

Mh. Rais tuletee DC mwingine Temeke mwenye maadili ya utumishi.

#Rais teua DC mwingine Temeke

anawafundisha kwamba"wapate UDC kwanza ndipo washike mimba bila ndoa"si kinyume chake.
 
Je kama alifunga ndoa ya Siri ya Kwa mkuu wa wilaya?
Au pengine amepandikiza kama wafangavyo mastaa wengine?
 
Katika utumishi wa nchi Kiongozi anayeongoza wilaya, mkoa n.k ambaye kikatiba anamwakilisha Rais wa Nchi, kubeba mimba au kuzaa pasipo kuwa na ndoa inatoa taswira hasi kwa wale unaowaongoza.

Mkuu wa Wilaya ya Temeke Mh. Jokate Mwegelo kwa sasa ana mimba na anatarajiwa kupata Mtoto, lakini kitu cha kushangaa haijulikani kama ana mume au ameolewa jambo ambalo katika maadili ya utumishi linamshusha hadhi.

Mtumishi wa serikali anayetumikia nafasi kama hii kuzaa bila ndoa haileti mantiki kwani wananchi unaowaongoza wanaweza kudhani Kiongozi wao unaruka ruka hovyo na wanaume na hivyo kukushusha hadhi.

Taasisi za dini kama katoliki, mtumishi wao tofauti na watawa ukizaa bila kuolewa tena ndoa unafukuzwa kazi, kwa sababu wanaamini utaleta uzinifu kwenye taasisi yao.

Watumishi wa serikali wenye vyeo vya juu kiutumishi hakikisheni mnafunga ndoa, ili kuleta heshima kwa mnaowaongoza.

View attachment 2290818

Hapa kuna wivu
 
Mi nawaza tu Mwenyeketi wa Kamati ya Ulinzi na Usalama aliachaje lindo wazi likaliwa na muhuni mmoja?🤣
 
Back
Top Bottom