Wanawake, mnaweza kukaa muda gani pasipo kukutana kimwili na mwanaume?

Inategemea na mtu,na sababu ya kuacha kufanya,mfano mimi Nina mwaka mmoja Sasa sijakutana na mwanaume kimwili,sababu ya kuacha kufanya ni kusalitiwa vibaya na mtu niliyemwamini so niliamua kuacha kabisa,so inawezekana hata miaka mitano
Hapo ukichukua charger unaweza kuchaji simu mwilini mwili tayari uweshakuwa power bank
 
Unajua watu wa mitandaoni they are sexual vicious na they are driven by lust and sex mindset. Ukija kwa real life Kuna watu wanapita hata mwaka hawajagusa mwanamke au hawajaguswa kabisa na mwanaume. .

Hawa sexual maniacs they only care about sex, wakati others are making impact to the world and their lives. Life itself is bigger

Siamini mimi mwaka hapana labda unamatatizo wewe.

Sent from my SM-A207F using JamiiForums mobile app
sio matatizo kila kitu ukiamua kinawezekana shida tunaendekeza sana uzinzi mm huu ni mwaka wa pili na niko naishi
 
Kinachoniudhi ni kuwa waafrika ni wagumu sana kueleza ukweli wanapoulizwa jambo la muhimu kama hili, yaani hapa wanawake wengi wanasoma huu uzi ila wanaupita kimya kimya bila ya kujibu wakati hili jambo iwapo wanaume tutalijua basi itasaidia sana katika kuboresha ndoa kwa kuhakikisha wake zetu wanapata haki yao ya ndoa kikamilifu
shida ni kua kila mtu ana namna yake kuna anayeweza kukaa mwezi kuna mwingine siku tu hawezi kupitisha sembuse wiki na kuna mimi ambae sasa huu ni mwaka wa pili naenda wa 3 sijawahi kutana na mwanaume kwa hiyo majibu utayapata lkn ndio kwa kila mtu ka namna yake
 
sio matatizo kila kitu ukiamua kinawezekana shida tunaendekeza sana uzinzi mm huu ni mwaka wa pili na niko naishi
Bab kubwa sana. Ukiweza shinda tamaa za mwili unaweza fanya mambo makubwa kwenye maisha yako na jamii kwa ujumla. Wanaondekeza ngono wanajaza dunia tu ila hawawezi fanya mambo makubwa kwenye huu ulimwengu. .
 
Bab kubwa sana. Ukiweza shinda tamaa za mwili unaweza fanya mambo makubwa kwenye maisha yako na jamii kwa ujumla. Wanaondekeza ngono wanajaza dunia tu ila hawawezi fanya mambo makubwa kwenye huu ulimwengu. .
True
 
Bila hata self ya Demi mkuu ??
Kila kitu ni mindset tuu ,mi kuna mwaka niliwahi kaa miezi tisa bila kufanya mapenzi,wala kujichua.Ilifika wakati nkilala usiku nabutua mashuti na kumwaga wazungu kabisa.Soo inawezekana japo nligundua kuna mda unakua na mawenge flani flani ivi..
 
Back
Top Bottom