Mjali sana baba yako au mama yako hata kama alikukimbia

Asilimia kubwa ya watoto wamesomeshwa na Baba zao lkn wanaofaidi matunda zaidi ni wamama. Je hapo ibadilike mama ndo awe responsible utasoma namba zote....
 
actually, wanaume woote wanaoungana na wanawake ma single mother wenye hasira za kuachwa, kuponda wanaume wenzao ati walitelekeza watoto, na ninyi ni wanawake tu, tofauti yenu ni kuvaa sketi na bikini tu.

binafsi, nikideclare interest, ninao watoto wa kambo, ninawalea na ninawasomesha shule zilezile ambazo watoto wangu wa ndani wanasoma, na sitaki wawe tofauti. ila usumbufu ninaoupata toka kwa mama zao, ni kitu cha ajabu sana. namna wanavyoweka kauzibe wao wenyewe kuvuruga ndoa wakati wakijua mwenye mali amekubali watoto wao watunzwe na wasomeshwe huko huko lkn wao wanatambani ndoa ivunjike, pamoja na kwamba wao pia wapo kwenye ndoa. wakati mwingine unapata ugumu hata kutuma pesa kwa mtoto wako kwasababu ya ujinga wa mama yao. ndio maana usije kuingilia ugomvi wa wazazi wako hata siku moja kwasababu haukuwepo siku ile kitandani ukisaidia kunyanyua mguuu ili babako atie mbegu. nakubali wapo wanaume vichwa maji sana, ila sababu kubwa ya watoto kuteseka huwa ni wanawake wenyewe namna wanavyo jiposition kusaidiana kulea watoto. lakini watoto kama kina dimpoz wakikua, wanaaminiw ameshafanikiwa, hata hawajajua maisha hao, wanawadharau na kuwadhalilisha wazazi wao.

binafsi, hata watoto wangu huwa nawaambia wazi kwamba, ninakulea nikiwa mbali na wewe kwasababu mamako alinikuta nina ndoa tayari, alivamia ndoa ya mtu hivyo haiwezekani mimi kuishi na mamako. pia nawaambia kabisa kwamba, siku ukiona sijatuma pesa mwulize mamako kuna tatizo gani, au la njoo nitafute wewe mwenyewe ukiweza, chukua hata simu ya mtu nipigie nitakufuata ulipo nikupe pesa. ila ninapokupa pesa sikupi ili nije nikutegemee, nakupa kwa upando kama mtoto wangu tu, sikudai na wala haunidai kwasababu deni langu la kukulea nimeshalipa. usitegemee nitakuja kukupigia magoti kwasababu wakati mamako ananitesa wewe hukuwa na uelewa wowote. nakusaidia kama ambavyo ningemsaidia mpita njia, hivyo usijione kidume saaana kwangu.

na nilishawaambia, mimi ninawapenda kama watoto wangu na sitakubali mtu yeyote awaonee, nitawapambania kadiri ya uwezo wangu. hata mke wangu anajua kuwa akigusa maslahi ya watoto wangu hao wa kambo panachimbika. lakini uamuzi ni wenu, anayeona mimi babake awe karibu na mimi na anipende, anayeona mimi gaidi akwende zake nina watoto wengine wengi tu na wao sio watoto pekee (sio beggotten children). maisha yenyewe haya yako wapi, unatafuta maisha weee unapokuja kuzeeka na hao kina ommy dimpoz wanapoanza kukukebehi hata hauitaji saaana msaada wao kwasababu ndio muda wa kuelekea kwa baba.
 
Back
Top Bottom