Daniel Lema wa Safina redio

huyo mzee sijawahi kumuelewa hata siku amezeeka kiasi kwamba huwa anasahau hata nini ameongea yupo kama mzee mwinyi

mke wake nae ni hbr za israel tu kwa kwenda mbele yaani full majanga
Sio waalimu wazuri
 
Mke wake amesababisha wamama wa mkoa wa Arusha kuweka vibendera vya Israel ndani ya nyumba zao.

Vibendera vya Israel kutoka safina
Chumvi kutoka safina
Mafuta ya mizeituni kutoka safina
Maji yaliyoombewa kutoka safina na makolokocho kibao

Mbaya zaidi vitu hivyo vyote wanauziwa kwa bei ghali
Ibada ya sanamu hiyo
 
Kuna mtumishi alikuwaga pale yule jamaa alikuwa na karama kubwa haswa? Kiasi kwamba alikuwa anawafunika wenzake ..gafla kapotea nikaja sikia walimtoaga dah tangu siku hiyo siskizagi Tena hiyo redio.
Saiv Ana huduma yake kule Moshono. Nina nimesahahu
Luka
 
Imagine nimekuta mtu mtoto wake alitokewa na kipele gotini kikaiva wakampasua. Mguu ukaanza kuvimba na kuwa na malengelenge kama ameungua. Hospital ya Kijiji Wakampa dawa ya kutuliza maumivu na kupaka pamoja na Rufaa ya kwenda Mt. Meru Hospital. Wao badala ya kwenda Kwenye Rufaa wakaenda Safina. Wiki nzima wanampa mtoto dawa za hospital anashushia na ile Fruto Ya Safina. Wanampaka Cream ya Hospital juu wanaweka na Ile Mafuta ya Upako.

Mtoto miaka mitatu analia hadi anatukana matusi kwa mama na Bibi yake imagine. Nikawaambia waende Mt. Meru.
Sijui kama wataenda shauri yao.
 
Mke wake amesababisha wamama wa mkoa wa Arusha kuweka vibendera vya Israel ndani ya nyumba zao.

Vibendera vya Israel kutoka safina
Chumvi kutoka safina
Mafuta ya mizeituni kutoka safina
Maji yaliyoombewa kutoka safina na makolokocho kibao 😂😂

Mbaya zaidi vitu hivyo vyote wanauziwa kwa bei ghali
Wanapandisha bidhaa thaman kwa kuziprocess na kuzipack kwa upako. Tz ya viwanda
 
Kuna mtumishi alikuwaga pale yule jamaa alikuwa na karama kubwa haswa? Kiasi kwamba alikuwa anawafunika wenzake ..gafla kapotea nikaja sikia walimtoaga dah tangu siku hiyo siskizagi Tena hiyo redio.
Saiv Ana huduma yake kule Moshono. Nina nimesahahu
Lukas, 2012 aliniombeaga wakati napita kwenye mapori. Namkumbuka mjoli wa Bwana Yesu.
 
Lukas, 2012 aliniombeaga wakati napita kwenye mapori. Namkumbuka mjoli wa Bwana Yesu.
Huyo huyo braza ..na Kuna yule mqingine alikuwa anaitwa somebody Christopher ..daha Hawa watumishi wawili walinibariki saana Ila baada ya wao kusepa iyo redio huwa siskizagi Tena. Nnaona wanapiga kelele tu na kukusanya hizo Mia Mia za akina mama maana ndo wahanga wakubwa.
 
Wenye kiwanda cha Fruto walipaswa kuwapa heshima sana Hawa Jamaa wa safina, maana huwa wanaelekeza kabisa kwamba ununue Fruto na si brand ingine yoyote....na zinauzika balaa.
 
Huyu kiongozi wa hii huduma kwa kweli sauti yake inanibariki mno hasa kile kipindi chake mida ya saa saba mchana.

Nasikia sasa hivi amekuwa mzee sana vijana ndo wanapiga kazi ya injili kwenye mahubiri.
Hata sa kumi na moja alfajiri!
Yaa ana vijana wengi wako vzr na mkewe pia!
 
Mke wake amesababisha wamama wa mkoa wa Arusha kuweka vibendera vya Israel ndani ya nyumba zao.

Vibendera vya Israel kutoka safina
Chumvi kutoka safina
Mafuta ya mizeituni kutoka safina
Maji yaliyoombewa kutoka safina na makolokocho kibao

Mbaya zaidi vitu hivyo vyote wanauziwa kwa bei ghali
Aisee hivi shilingi mia 5,elf moja ndio ghali?
Jmn kabla hamjaongea vitu muwe mna uhakika navyo!
Ushauri tu!
 
Back
Top Bottom