Je, ulishawahi kulazimisha mpenzi au rafiki aendelee kubaki maishani mwako?

FB_IMG_16168438052377755.jpg
 
''๐Œ๐ฐ๐š๐ง๐š๐ฆ๐ค๐ž ๐ค๐š๐ฆ๐š ๐ก๐š๐ญ๐š๐ค๐ข, ๐›๐š๐ฌ๐ข ๐ฆ๐ฐ๐š๐š๐œ๐ก๐ž ๐š๐ž๐ง๐๐ž ๐ณ๐š๐ค๐ž ๐ฎ๐ฌ๐ข๐ฆ๐›๐š๐ค๐ž,

๐ค๐ฎ๐ฅ๐š๐ณ๐ข๐ฆ๐ข๐ฌ๐ก๐š ๐ฉ๐ž๐ง๐ณ๐ข ๐ง๐ข ๐ก๐š๐ญ๐š๐ซ๐ข ๐ค๐š๐ฆ๐š๐š๐š,,,,,"

๐€๐Ÿ๐š๐ง๐๐ž ๐Ÿ๐ญ ๐ƒ๐จ๐ ๐จ ๐ƒ๐ข๐ญ๐ญ๐จ

๐ญ๐ก๐ž ๐ฌ๐š๐ฆ๐ž ๐š๐ฉ๐ฉ๐ฅ๐ข๐ž๐ ๐ญ๐จ ๐ง๐จ๐ซ๐ฆ๐š๐ฅ ๐Ÿ๐ซ๐ข๐ž๐ง๐๐ฌ
 
mkuu uzi mzr sn..mie ktk contacts zangu nina namba 326..ukiondoa wazaz wangu na 1 best friend...hao 300 wengine hawanikumbuki mpk niwaanze mie..so nitaitumia hiyo idea yako.

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu namba 300 ni namba nyingi sana mimi zipo 32 tu. Reasons ni kua hua siwezi kuomba nawasiliano na mtu na nikiwa Sad hasira namalizia kwenye namba za watu. Nafuta vyote

#Thanks for compliments
 
''๐Œ๐ฐ๐š๐ง๐š๐ฆ๐ค๐ž ๐ค๐š๐ฆ๐š ๐ก๐š๐ญ๐š๐ค๐ข, ๐›๐š๐ฌ๐ข ๐ฆ๐ฐ๐š๐š๐œ๐ก๐ž ๐š๐ž๐ง๐๐ž ๐ณ๐š๐ค๐ž ๐ฎ๐ฌ๐ข๐ฆ๐›๐š๐ค๐ž,

๐ค๐ฎ๐ฅ๐š๐ณ๐ข๐ฆ๐ข๐ฌ๐ก๐š ๐ฉ๐ž๐ง๐ณ๐ข ๐ง๐ข ๐ก๐š๐ญ๐š๐ซ๐ข ๐ค๐š๐ฆ๐š๐š๐š,,,,,"

๐€๐Ÿ๐š๐ง๐๐ž ๐Ÿ๐ญ ๐ƒ๐จ๐ ๐จ ๐ƒ๐ข๐ญ๐ญ๐จ

๐ญ๐ก๐ž ๐ฌ๐š๐ฆ๐ž ๐š๐ฉ๐ฉ๐ฅ๐ข๐ž๐ ๐ญ๐จ ๐ง๐จ๐ซ๐ฆ๐š๐ฅ ๐Ÿ๐ซ๐ข๐ž๐ง๐๐ฌ
Wanasema kama unampenda mtu you have to set her free. Ila mm naona kama umempenda mtu inarakuwa umpende iwa syaru nna mapenzi yako yote since tunaishi muda mfupi
 
Habari wakuu.

Kwenye mizunguko yetu ya maisha kuna wakati unakua upo very attached na mtu Fulani either ni rafiki wa kawaida kama Man to man au Man to woman, pengine ni mpenzi wako umpendae sana sana. Yaani unakuta una mpenzi roho yako imetokea kumpenda sana husikii wala huoni juu yake, kila muda unatamani uwe nae karibu au kuwasiliana na nae. Au kama ni rafiki yako wa kiume unakua kila ukitaka kufanya kitu Fulani unamstua mshikaji wako, yaani kama kuna ishu unatka kufanya mshikaji wako bila kuwepo unaona unaifanya kimagumashi. Kiuhalisia unakua upo mentally attached to that person, unakua umempa nafasi kubwa sana mpenzi wako au mtu huyo kwenye akili yako na maisha yako kwa ujumla.

Je huo upendo na nafasi kubwa uliyompatia kwenye maisha yako ushachunguza kama naye anakupatia nafasi hiyo? Jibu ni No! na kama ni Yes basi nafasi hiyo amekupa kwa muda, kuna muda utamtext atakujibu kwa wakati wake, utatamani kuongea nae ila yeye ataona unaboa tu, utataka uonane nae yeye atakuona msumbufu.

Ikifika hatua unaona mtu yupo online unamtext pm ana like tu, unamtext wasap ana soma then anakaa kimya sana au unamtext kwa sms halafu yeye kaka kimya wakati unajua hiyo sio kawaida yake jua kwamba huna chako hapo, utakua unalazimisha mawasiliano, mapenzi au urafiki ambao mwenzako hautaki tena.

Kwanini ulazimishe mawasiliano au mapenzi ? Kila kitu chatokea kwa sababu. Unajua unapompenda na kumjali mtu sana kiasi asicho stahili utaishia kupata maumivu usiyo stahili..

Subconscious mind hutenda kazi ikishirikiana sambamba na Nature, kuna hali Fulani unawez kua nayo katika maisha labda ni upweke,huzuni,kukosa faraja kiufupi unakua huna furaha au amani ya maisha. So kinachotokea ni kwamba
Subconcious mind inawasiliana na Nature kua mwanadamu huyu (yaani wewe) una matatizo Fulani maishani inaiamuru nature kutafuta mtu wa kuja maishani mwako ambae ataendana na hali ile uliyonayo.

Baada ya muda mfupi utajikuta umepata rafiki ukawa nae anakuliwaza kweli hadi ile hali ikawa imeisha..Mind ikishaona mentally ya huyu mtu iko stable inamuamuru nature kuruhusu yule mtu kuondoka au akaendelea kubaki. Hapo sasa ndio utaona umepata rafiki labda ni mwanamke au mwanaume akawa anakupa company sana kwa hali uliyonayo kwa muda Fulani (hata mwaka mzima. Unajikuta umekua attached sana na mtu huyo then inafika muda bila sababu yoyote ile ya msingi unaona mawasiliano na urafiki unapungua taratibu then unaisha kabisa. Hapo nature inakua ishafanya yake..

Nachotaka kusema ni kwamba watu ambao mpo kwenye mahusiano jifunzeni kusoa alama za nyakati, so unaona hapa mapenzi au urafiki unaanza kuisha ila wewe ndio bado unazidi kuongeza kupiga simu na kumfuata ili aendelee kubakiโ€ฆKijana kila kitu kinakuja kwa muda na sababu Fulani, hutakiwi kutumia nguvu kubwa kumfanya mtu aendelee kubaki kwenye maisha yako. Mtu kama ni muhimu kwenye maisha yako atakuja mwenyewe na kukaa nawe daima, huna haja ya kulazimisha.

Kwanini ulazimishe mahusiano? Watu wote hawa waliojaa duniani au unadhani yeye ndio bora pekee kuliko wote, mwache aende labda alikua sio riziki ya maisha yako! Utapata mwingine. Kikubwa zaidi ambacho hutakiwi kukifanya maishani mwako ni kupuuzia ubaya wa mtu anaokufanyia kwakua unahitaji mtu huyo aendelee kubaki maishani mwako, train your mind to be stronger than your feelings.

Kingine maishani mwako usionyeshe wema au uzuri wako ili uwafanye wavutiwe nawe, waonyeshe ule upande wako ambao ni mbaya uone kama watakuvumilia au wataondoka. Wakiondoka usijali jua ni watu fake. Be real thatโ€™s beautiful enogh kijana.
Mwaka mpya,misimamo mipya..Uliumbwa mwenyewe! Huyo mpenzi au rafiki yako umpendae sana ambae unaona huwezi fanya kitu bila yeye ni wa kupita tu.

Hamishia nguvu zote kwa mama yako ndio the best one ambae hatakuja kukusaliti. Jiamini katika uwezowako, unaweza kufanya makubwa bila mpenzi wako huyo ambae unaona huwezi fanya kitu kikafanikiwa bila yeye.If you Doubt your power, you power your doubt.

Binafsi hua sijali wala kujutia chochote maishani mwangu, ukinipenda Ahsante na karibu, ukiondoka hamna shida pia.. you weren't meant to stay in my life, if you were! You will stay in my life forever
A guy has said, Itโ€™s up to you To choose me or to loose coz Iโ€™m not a second choice
With or Without you, I shine!


-Da'Vinci
Ukitaka kufeli kwenye maisha basi anza kulazimisha watu wakupende. Binafsi huwa najitahidi kuwa positive kwa mtu yeyote bila kutegemea chochote. Lkn pia ukionesha hunihitaji na mimi huwa sipotezi muda nakwambia kwa heri na karibu tena Duniani kuna watu zaidi ya billion 7.8
 
We meet real people na wa maana when we keep up harakati za kujiweka sawa kimaisha.
Kwenye harakati za kutoboa ndio huwa tunakutana na watu wa kuishi nao na kufa pamoja as frnds or lovers etc..We dont have to request or cry for frndships or relationships..
Uhusiano hau ombwi wala kubembelezwa..Kaa kwenye proper channel then u wl meet right companies..TUTAFUTE MAISHAA.
umesema sahihi
 
Tumedumu yapata miezi 5 lakini hisia zangu juu yake zilikuwa za kweli hasa, nilimpenda na nilimhitahi sana binti mmoja. kuna kipindi niliwahi kutia mashaka Jinsi ya alivyonitazama kama hisia zake zilikuwa zina ukweli ndani yake, nilijitahidi kumjali na kumtunza kwa kadri nilivyoweza, nilijipa tumaini kubwa sana juu yake angekuwa msaidizi wangu baada ya miaka 2 au 3 toka sasa. Lakini toka Mwezi December alibadirika sana, mawasiliano yalikuwa changamoto lakini Upendo wangu kwake ulinipofusha kiasi cha kutotilia maanani dalili ambazo si nzuri, Hatimaye Binti kanieleza ukweli juu ya safari yetu, kapokea Maono kuwa mimi sio mtu sahihi kwake kwamba Sisi ni watu Madhehebu tofauti na hivyo uhusiano wetu haumpendezi Mungu, napitia wakati mgumu wa kuponya majeraha ya hisia nilizokuwa nazo juu yake. Wasiwasi wangu najiona jinsi nitakavyokuwa Muoga kuingia katika uhusiano mwengine, nafasi ya kuwaamini wanadamu inazidi kupungua kwangu na sioni ambaye naweza kuja kumuamini kirahisi, labda na Mimi nipate ufunuo wa Mungu juu ya Watu husika.
inaumiza
ndivyo ilivyo sijui kwa nini watu wema hupitia kwenye hizi hali kwa kweli
 
Mimi sijui ila Nadhani maybe sijapenda au nimeukomaza moyo wangu kwa mitazamo ya kua mpweke pweke.
Mfano..
Hua najisemea I'm useless one, nobody needs me! So kwa mentally hii hata mpenzi akiniacha najua tu I'm no tdestined to he loved.
Theres a difference kati ya i am useless na heri niwe mwenyewe kwa sasa

fanyia kazi hio hali ya kujiona ur useless jithamini
 
Are u really useless?

are u really a nobody?.
In default mode mwanadamu yoyote Yule ameumbwa anahitaji kupenda au kupendwa, hata ufanyaje huwezi kukwepa huu mtego coz itโ€™s a law of nature and you canโ€™t escape a law of mother nature because nature always find its way and always win.Upendo ndio msingi wa maisha ya mwanadamu, ktika kupenda au kupendwa kumebadilisha maisha ya watu wengi waliokua waovu,watukutu na makatili..mtu yoyote Yule aliye katili hua ukimpatia upendo basi utaweza kumbadirisha kuwa mtu mwema.

Hata mtu awe gaidi kivipi au katili kiasi gani kunakuaga yupo mtu mmoja au zaidi ambao anawapenda na kuwajali, kwasababu ili maisha ya mtu mmoja mmoja yalete maana halisi ya kuitwa maisha lazima wawepo watu ambao anawajali na kuwapenda ndio maana ili uitwe mwanume kamili lazima uwe na familia ambayo unaipenda na kuihudumiaโ€ฆ mwanaume kamili anajiona na kuuFeel uanaume wake pale anapoweza kuhudumia nakujali familia yake na ndugu zake. Why this? Its just because everyone need to belong to someone, everyone need to have someone who she/he care for.
 
Back
Top Bottom