peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 13,607
- 22,538
Rais yuko salama anachapa kazi zake. Mnataka mumuone Kariakoo?Pm muongo kuwahi kutokea katika historia ya nchi yetu! Anadanganya mpaka kwenye nyumba za ibada, Bungeni, nk.
Rais yuko salama anachapa kazi zake. Mnataka mumuone Kariakoo?Pm muongo kuwahi kutokea katika historia ya nchi yetu! Anadanganya mpaka kwenye nyumba za ibada, Bungeni, nk.
Awamu ya 5 ndiyo awamu pekee iliyoshuhudia ufisadi wa kihistoria tangu Tanzania ipate uhuruKeshawapuuza sasa mmeanza ramli na matusi.Asante Rais Samia kwa kupuuza hiki kikundi cha wahalufu kazi iendelee
Mkuu kuhusu ilani umemaliza,Kwa katiba hii labda awe rais muoga tu, anaweza kutekeleza chochote atakacho na hakuna wa kumfanya lolote. Kwenye ilani ya ccm ya 2015 ilisema mwanafunzi akipata mimba atarejea shuleni, Magufuli aliongea tena kwa kiburi kuwa serikali yake haitasomesha wazazi. Ilani hiyo hiyo iliahidi kumalizia mchakato wa katiba mpya, lakini Magufuli alitamka hadharani, mchana kweupe kuwa hana muda na katiba mpya, na hakuna aliyesema afuate ilani.
Huyo mama akiaamua kufuata ilani ni sawa, ila ni kwakuwa atakuwa hana maono yoyote binafsi anayoyaamini, lakini akitaka anafanya lolote, na wasaka mlo watajitokeza kumsifia kama kawaida.
Wewe vipi, kwani mimi nimesema ni Rais nusu... Mbona huna heshima, huyo ni Rais wa kurithi, huo muda wa kutengeneza wafuasi ndani ya chama hana, hata huo ushawishi hana ndani ya chama, kufanya anachotaka huo uwezo hana kwa sasa, akifanya hivyo labda awe anataka kuua chama, maana 2025 kitakuwa kibarua sana, sasa huo upumbavu mnaotaka afanye kuna adhabu yakeWewe ndiye kabisa hujielewi , kwa taarifa yako wewe uliye usingizini tena wa pono.
Mama Samia ni rais kamili mara tu baada ya kuapishwa kuwa rais wa JMT ndiye amiri jeshi mkuu wa majeshi yote ya hapa nchini.
Kwahiyo kama bado upo ndotoni basi amka sasa maana utaachwa umelala.
Na kama hukubali basi hama nchi rudi kwenu burundi.
Tatizo lenu nyinyi sukuma gang mnataka mama aendeleze tabia zenu mlizo zoeshwa jambo ambalo mama hataki .hoja hapa mnataka Majaliwa atemwe au asiwe na hizo sifa ulizotaja?
ni kama mmechanganyikiwa kila kitu mnataka nyie,wakati mna mbunge mmoja tu
Kumbe mtu yupo Mzena Hospital akisubiria tu kutangazwa kama Hayati.Rais yuko salama anachapa kazi zake. Mnataka mumuone kariakoo?
Umemsaidia kuona upumbavu wake.Kwani samia ametokana na serikali gani? Alikuwa anayahubiri ya nani? Amekabidhiwa ilani ipi? Amenadi sera zipi? MAJIBU YA HAYA MASWALI YATAKUFANYA UFIKIRI UPYA.
Endelea kusubiri ilani ya chama ikukomboe, soma katiba once anakuwa rais halazimishwi kufuata mawazo ya mtu yeyote yule ikiwemo ilani, ndio maana Magufuli alikuwa akifanya hata ambayo hayamo kwenye ilani.Anafanya kile alichokubaliana na wananchi kupitia ilani ya chama full stop!
Kwa taarifa yako mama hawezi kamwe kusikiliza huo ujinga wenu maana tayari anawajua vema nyinyi wapiga zumari wa ccm.Ww vipi, kwani mm nimesema ni rais nusu... Mbona huna heshima, huyo ni rais wa kurithi, huo muda wa kutengeneza wafuasi ndani ya chama hana, hata huo ushawishi hana ndani ya chama, kufanya anachotaka huo uwezo hana kwa sasa, akifanya hivyo labda awe anataka kuua chama, maana 2025 kitakuwa kibarua sana, sasa huo upumbavu mnaotaka afanye kuna adhabu yake
Iwakomboe watanzania kupitia mamaEndelea kusubiri ilani ya chama ikukomboe.
Mzee wa Mabambasini
Bora ufisadi wa awamu ya tano lakin mambo yalionekanaKwahiyo unashauri pia aendeleze na ufisadi mlioufanya kwenye awamu ya 5?
Hili ndilo jibu sahihi na uzi imeishia hapa.Kwani samia ametokana na serikali gani? Alikuwa anayahubiri ya nani? Amekabidhiwa ilani ipi? Amenadi sera zipi? MAJIBU YA HAYA MASWALI YATAKUFANYA UFIKIRI UPYA.