Kitu gani kinakupa uhakika kuwa unapendwa kweli na mwenza wako?

Wanawake akili zetu zilivyo ni kwamba baadae ukikolea atakuja kulipiza,hili jiandae nakupa siri kama mwanamke
Now anajua hujakolea hataki kutumia nguvu sana utamuelewa badae kwanini alikwambia ye yupo haendi popote
Kwamba Ana subiri usiku wa kisasi siku Ata mfanya kiongozi hapo aone rangi zote za dunia hii...

She asking do you remember??
 
Akinijali najua ananipenda!
IMG_20210502_102801.jpg
 
View attachment 1741024

Habari wana JF,

Kumekuwa na tafsiri nyingi tofauti juu ya kupendwa, hebu kama wewe ni mwanaume au mwanadada tuelezane ni mambo gani yanaweza kukuhakikishia kwamba unapendwa kwa dhati na mwenza au mpenzi wako...

Pia soma: Do you feel LOVED?
Ananijulia hali kila mara,ananiuguza nikiumwa, anatabasamu akiniangalia, ananikiss kila wakat na ananiambia maneno matamu tukinyanduana, ntamspoil huyu mtt wa mwanamke mwenzangu jama heh ngoja nivunje kikoba!!!
 
nilikuw namgegeda ile ile nakarbia kumwaga nikajikuta naropoka aminaa namwagaa wakati sio jina lake ,alinimind Sana akidai nmevutia hisia mwingine ndo nikamwaga,nimemuomba msamaha amenisamehe tunaendelea kugegedana fresh,term hii siropoki tena
 
You talk a good game😍 nipokee tu kule piemuni🤣 im Certified!
 
nilikuw namgegeda ile ile nakarbia kumwaga nikajikuta naropoka aminaa namwagaa wakati sio jina lake ,alinimind Sana akidai nmevutia hisia mwingine ndo nikamwaga,nimemuomba msamaha amenisamehe tunaendelea kugegedana fresh,term hii siropoki tena
Mazafanta Walahi
 
Me mwanamke akionesha kunipenda mzuka na yeye unakata kabisa yani!! Me napenda dem anisumbue yani me ndo nimtesekee kumpata! Kuna dem bikra ananishobokea na anataka anipe papuchi ila sina hata mzuka nae! yani madem hanjui tu wanaume tunapenda wanawake wagumu kuwapata! Sema na mm kuna dem nafukuzia mgumu huyo ila ndo napenda wagumu sio dem unanishobokea kila saa unantxt me nakereka kwa kweli!! Wanawake em ringeni muone mtakavyokuwa mnavutia watu wengi! #MWANAMKERINGA
Duuh kweli akili ni nywele kila mtu na zake
 
Ahahah mwamba unazingua

Back
Top Bottom