Hii nchi ukifikiria sana unatamani yafanyike mageuzi makubwa sana ya sheria zetu kuhusu wabadhirifu wa mali ya umma,tunawadekeza sana,aidha inawezekana watunga sheria ndio wabadhirifu wenyewe hivyo hawawezi kujichoma kisu wenyewe,
Imagine awamu ya tano kwa pesa hiyohiyo tuliweza kujenga...
Huu sasa ndio muda muafaka Wizara ya Nishati kumulikwa kwa kuundwa Tume Huru ya Kibunge kuchunguza matatizo yaliyopo.
Waziri aliyehamishwa wakati anaingia wizara hiyo alitoa kila aina ya sababu za kukosekana ufanisi Nishati hasa umeme.
Mengi alizungumza, nitataja mawili;
1. Ukame,
2...
Mjadala ni katiba mpya na tume huru ya uchaguzi kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu 2024/2025
Huyu jamaa nahisi ni msomi mmbobezi aliejificha kwenye uandishi na utangazaji wa TV
Hii ni hazina kwa taifa tuitumie
Naandika haya nikiwa nimefanya utafiti wa kutosha kabisa kuhusu halimashauri za miji isiopungua 15 hapa nchini,kuna ubadhirifu mkubwa sana wa fedha za miradi mbalimbali ya maendeleo zinazoelekezwa kwa wananchi ,(no value for money).
Michezo hii inafanywa na baadhi ya watumishi wasio waaminifu...
Ndugu wanajukwaa hasa mafundi wa magari,kuna gari ya anko wangu aina ya RV4 J,ukiweka reverse au kwenda mbele hukita mlio flani,hili tatizo halikuwepo kabla.
Je, ni tatizo gani na linaweza tatulika kwa gharama kiasi gani?
Ilitumika nguvu kubwa sana kuaminisha Watanzania kwamba ni zaidi ya alie msimanga,
Mpaka sasa hakuna tena nyuzi muendelezo kumuhusu. Baada ya mwaka hakuna atakae jua kama aliwahi kuwepo, labda wapambe wake wachache tu.
Lakini Jiwe mpaka leo wanahema nae tu kila uchao
Mabadiliko haya iltakiwa Amos Makala aachwe,kazi imemshinda,kama ambavyo Magufuli aliona hafai.
Kwa kuwa Makala ana Magodfaza, Rais Samia akaambiwa amteue, ukweli umedhihirika si chochote, hata huko mwanza anaenda kuchemka tu, ana mambo ya Kiswahili Swahili sana.
Badiliko la Adam Malima na...
Kiukweli ile hukumu ilikuwa ya kibabe,kisiasa iliyolenga kutisha watanzania katika kuusema ukweli dhidi ya Baadhi ya viongozi waliolitumikia nchi hii lakini kama wanadamu wanamapungufu,ikiwemo kujilimbikizia mali, tamaa ya madaraka ni kujiona wao ni bora,nchi mali yao na hawagusiki,ukiwagusa...
Naona Rais wetu unaamini kukaa meza moja na chadema hasa Mbowe ndio unapata amani ya kuongoza taifa,si kweli kabisa.
Rais Samia unaatakiwa utafute suluhu ya kero za watanzania wengi maskini wenye hali mgumu ya maisha, wakiumia na mfumuko wa bei za bidhaa mbalimbali nchini, na wengi wao hawataki...
Nikitafakari sana namuonea huruma sana rais Samia, kazingirwa na genge baya sana, akiamini ni wema kumbe wana yao moyoni, hasa kujilimbikizia mali za umma.
Kati ya hawa makatibu wawili, Bashiru Ali na Yusuf Makamba nani katoa kauli mbaya? cha ajabu BASHIRU ALI alishambuliwa kila pembe, lakini...
Huyo ndiye Dr. Bashiru ninayemjua mimi.
Mimi sikushangazwa kabisa na kauli imara na madhubuti aliyoitoa Dk. Bashiru hapo juzi kule Morogoro, zaidi niliwashangaa wanaomshangaa na kumsema vibaya kisa tu kaamua kusema ukweli wake wa moyoni.
Na kama ambavyo taaluma yake ya uzamivu katika sayansi...
Ushauri huu utakusaidia kuelekea 2025,mtindo huu ulimjengea sifa sana Raia hayati Magufuli,kwasababu wasaidizi wako wengine ni wahuni,hawaelezi matatizo ya wananchi kadhalika kuyatatua,kazi yao ni kukusomea risala tu, wakati wananchi wanamadhira kibao.
Ingawa hutaki kuiga mfumo wa hayati Rais...
Nayasema haya si kwa kubahatisha,nimefanya uchunguzi karibu nchi nzima kujiridhisha, nafasi hizi zimejaa wengi wao matajiri na wafanyabiashara wakubwa ambao hawana kabisa ufahamu kabisa wa masuala ya siasa zaidi ya biashara,hii imepelekea wanaccm wafiia chama kushindwa kupenya.
Hii CCM ya sasa...
Hii nchi ukitafakari sana utajua ya kwamba tunakosa viongozi wenye maono na wazalendo kwa taifa hili na inapotokea kiongozi mzalendo na mchapakazi basi ujue nchi hii sio mahala pake.
Hakuna maendeleo na upatikanaji wa huduma za kijamii bila ya uhakika wa mapato ya serikali hasa kodi.
Luhaga...
Akichangia wizara ya nishati alifanya vituko vya hovyo sana, imani yangu hata aliyemtuma kumpigia promo (Makamba jr) alijisikia vibaya sana, alifanya mambo ya kijinga sana, hakuwa makini katika kufanyia kazi ujira aliolipwa na January.
Wabunge hawa tuwa note, ni kirusi kibaya sana kwa taifa letu
Kauli yako ilipokelewa kishujaa sana ,baada ya Rais Samia kukujibu ulitakiwa ujiuzulu ,kosa ulilofanya ni kuomba msamaha ,hapo kwa kweli uliharibu sana sana tu.
Hoja yako ilikuwa makini sana ,kwanini tukopekope hovyo huku bidhaa kama mafuta,chakula,mwananchi kubambikwa kodi na tozo mbalimbali...
Naunga mkono uwekezaji wenye tija kwa taifa ,hasa kwenye terms and conditions zenye kulinufaisha taifa.
Hapa serikali iwe makini sana,kwani msafara wa mamba na kenge wamo ,tusije furahia namba ya investors kuwa kubwa lakini taifa halinufaiki lolote .
Katika hao wawekezaji watakao kuja kuna...
Huu mkanganyiko wa kauli za hawa viongozi waandamizi wa chama na serikali kuhusu bandari ya Bagamoyo inaonyesha kuna madudu sana ndani ya terms of contract,na hii inatokana na baadhi ya viongozi wachache waliolenga kujinufaisha na mradi huo .
Rejea jinsi dharura iliyotumika kupitisha miswaada...
Waziri January Makamba ulipoingia wizarani baada ya kuunda bodi ya wakurugenzi haikupita muda mkaingia mkataba wa dola million 30 na kampuni ya kihindi ya Mahendra kwa ajili ya setelite.
Huu ni wizi wa mchana kabisa tena wa mapema ukifumbiwa macho na utawala.
1. Kama miundo mbinu mibovu...
Huyu kiongozi wa Serikali ya mapinduzi zanzibar akiwa msaidizi wa hayati Magufuli alifundwa haswa akufundika katika style ya uongozi,
Baada ya kutawazwa kua Rais Zanzibar,aliifumua serikali haswa ,kuondoa viongozi mazoea ,kuleta damu mpya akichanganya wachache waaminifu wenye weledi.
Pia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.