Azam TV wana mtu anaitwa Faraja Sendegeya huyu ni nani?,naomba profile yake kwa anayemfahamu

wakatanta

JF-Expert Member
Feb 5, 2018
2,593
3,148
Mjadala ni katiba mpya na tume huru ya uchaguzi kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu 2024/2025

Huyu jamaa nahisi ni msomi mmbobezi aliejificha kwenye uandishi na utangazaji wa TV
Hii ni hazina kwa taifa tuitumie
 
Mjadala ni katiba mpya na tume huru ya uchaguzi kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa na uchaguzi mkuu 2024/2025

Huyu jamaa nahisi ni msomi mmbobezi aliejificha kwenye uandishi na utangazaji wa TV
Hii ni azina kwa taifa tuitumie
Hata mimi nilishawaza kama wewe, jamaa anajua kujenga hoja kweli, sio Leo tu nimemfatilia kwenye mahojiano mbali mbali, akiwa na Mada unakuta anahoja kwelikweli, yani unamuona tu yuko vizuri kichwani kwakweli.
 
Ni kweli jamaa anaijua kazi yake vizuri!Hana muda wa kuzunguka zunguka na pia anauliza maswali yenye hoja!Namkubali sana huyu mwamba!Pia kuna jamaa mmoja yuko kule Star TV naye anajitahidi!Nadhani anaitwa Odemba!
 
Back
Top Bottom