Search results

  1. A

    Mtaalamu wa kuandika proposal report hasa za mambo ya entertainment business

    Anahitajika mtaalamu wa kuandika proposal kwenye entertainmnet business. Pm hapa tuanzie hapa platform kubwa hii Sent from my Infinix X605 using JamiiForums mobile app
  2. A

    RC Makala tunaomba uweke wazi bei elekezi ya takataka mkoa w Dar es Salaam

    Kuna sintofahamu kubwa kwenye gharama inayotozwa kwa kila kaya ya uzoaji wa Takataka. Mkoa huu DSM kuna eneo kila kaya inatozwa 3000 kwa mwezi, wengine elfu 10000, wengine mpaka elfu 15000. Hili limekuwa linatusumbua sana wananchi tunachukia . Endapo kama Dampo lilipo na umbali wa uzoaji Taka...
  3. A

    Waziri Nape, tunaomba ufafanuzi kuchangishana kwa ajili ya vibao vya mitaa

    Yupo kada wa CCM anapita majumbani mwa watu na kudai anachangisha pesa ya vibao vya namba za nyumba na mtaa shilingi 7500 limekaaje. Tunaomba ufafanuzi toka kwa waziri Nape na CCM ikiwemo hili si sawa haswa wakati huu wa Tozo, mara ulinzi shirikishi, mara takataka. Hivi mbona huwa...
  4. A

    Msaada wa kiufundi au mawazo

    Nina azam tv imetumika kama miezi 7. Juzi imeanza no signal check if the wire has been connected. Nikamuita fundi ni me google mafundi azam mtandaoni akaja fundi kahangaika baadae akapata akili ya kuchukua decoder kwenda kwa majirani kuona kama iko sawa . Aka conclude kwamba haipokei signal...
  5. A

    European Aluminium windows grade 1

    Habari . Nimepata kuona kwenye nyumba za matajiri wachache wanafunga European Aluminum very high quality na ngumu zinakuwa na rangi ya blue. Ulitoa Atlantic metal Ltd ni nani mwingine anatengeneza na kuuza hapa DSM.
  6. A

    Kwa anayejua Marble floor tiles zinazotoka Mbeya?

    Kuna nyumba ya hayati mmoja nilifika nikakuta kaweka Marble floor tiles za kijani zimependeza sana huko mkoa wa Geita nilipojaribu kuuliza mhusika akaniambia zimenunuliwa mbeya kuna mgodi wa marble nzuri sana. Yoyote anayejua hiz marble za mbeya aje PM.
  7. A

    Wasemavyo wageni juu ya Tanzania, Tuchukue hatua tubadilike

    I do not intend to be overly critical but I can think of a few reasons. First Tanzania is rampant with corruption from the office of the president down to the restaurant dishwasher. Everyone feels entitled to charge a little extra for “doing their job” because salaries are so low. Tanzania...
  8. A

    Hili la benki kutaarifu mabadiliko ya bei za gharama ndani ya wiki si sawa

    Mimi ni mteja wa benki fulani ya binafsi, tarehe 17 march 2021 nilipokea sms ikisema kutakuwa na mabadiliko ya gharama za huduma mbalimbali ifikapo tarehe 25 march 2021. Kwanza ni mtazamo kwamba gharama za huduma mbalimbali katika benki zetu zipo juu sana, halipendezi kubadilisha gaharama ndani...
  9. A

    Anahitajika Landscaper mwenye uhalisia wa bei na ubora wa kazi

    Kuna kiwanja kimeshajengwa nyumba kipo nusu bondeni nusu mlimani. Ardhi yake haiko sawa anatafutwa fundi mtaalamu wa kulevel ardhi ili paonekane pamependeza na mvua isiharibu baadhi ya kingo za nyumba. Vile vile atakaye design namna mifereji ipite ili kutoa maji ya mvua nje ya kiwanja.
  10. A

    Nini husababishwa TIE watoe vitabu lakini madukani hakuna?

    Tanzania Institute of Education huwa wanatoa vitabu mfano mwaka jana darasa la tatu walipatiwa vitabu lakini ikaja kuonekana publisher hakuweza kuchapa vitabu vingi hivyo shule za binafsi zikaamriwa kuendelea kutumia vitabu walivyozoea vya Longhorn. Hivi sasa kuna vitabu vipya vimetolewa vya...
  11. A

    Tigo internet yenu inapoteapotea tatizo nini?

    Kumekuwa na muendelezo wa kupotea potea kwa internet tatizo liko wapi. Tunahitaji maelezo ya kina kwanini tupate shida. Internet ni biashara Sasa hivi.
  12. A

    Samsung Led 4300 s4

    Unashindwa ku play movies Toka kwenye external hard disc . Naomba utaalamu na ushauri. Nafahamu kwamba tv niliyonayo ni ya zamani, cable hazisomi external, software upgrade inadunda. Sijui nakwama wapi Sent using Jamii Forums mobile app
  13. A

    Kulikoni bei ya gesi za kupikia kupanda ghafla Ewura mko wapi?

    Leo nimesikia muuza gesi iliyokuwa unauzwa 47000 wiki 2 zilizopita leo unauzwa 57000. Serikali tunadhani kiwango cha mshahara ambacho mkuu umekiri hakitoshi Basi na Bei ya chakula na bidhaa Kama gesi ya kupikia viwe Bei ya chini. Twende tukawaulize wenzetu hata hapo Zambia tuu Bei ya chakula...
  14. A

    Umeme unaenda haraka zaidi ya maajabu msaada

    Ndugu wadau Ofisi yetu umeme unaenda unit 40 kwa siku. Tunaomba msaada wa mtaalamu aweze kutusaidia Sent using Jamii Forums mobile app
  15. A

    Nahitaji kusafirisha baiskeli Toka Joburg mpaka dsm

    Nimepata kuona baiskeli nzuri Toka Johannesburg South Africa. Kwa wenyeji na wajuzi nahitaji kusafirisha zije dsm. He ni njia zipi. Au Nani freight forwarder wa mzigo Toka gauteng mpaka dsm. Bei ikiwezekana na Kila kitu Sent using Jamii Forums mobile app
  16. A

    Je tunaelekea kwenye Uchumi wa kijamaa. Biashara ya clearing and forwarding kumezwa na Tasac Kama chombo Cha serikali

    Kuna dalili zinazoonyesha ule uchumi wa kijamaa wa mashirika ya serikali kufanya biashara taratibu inaanza kurejeshwa. Biashara ya Clearing and forwarding imeajiri watu wengi na ni sekta huru kwa mwenye uwezo,mtaji na kukidhi vigezo chini ya TRA na Sumatra, Sasa imeundwa (Tanzania Shipping...
  17. A

    Royal Bakery Chapati zenu siku hizi haziivi ila mnaziunguza

    Naamini hapa mkurugenzi ataupata ujumbe sawia. Takribani miezi 2 sasa nimekuwa mnunuaji mzuri wa Chapati pale Royal Bakery kawe mlalakua. Chapati nadhani sasa hazipikwi vizuri. Bali zinaunguzwa na kufanya ladha tofauti. Precisely toka chapati zianze kukaangiwa nje kumekuwa na kushuka kwa...
  18. A

    Kiwanja kinahitajika chenye Hati miliki

    Kinahitajika kiwanja chenye Hati miliki eneo Bunju beach,mbweni, Tegeta pasiwe na maji kutuama. Pawe panafikika ili hata ujenzi was biashara uwe na wateja.kikiwa karibu na barabara si mbaya. Hususan Mbweni Karibu na Oceanic, isiwe Bakili miluzi au Mbweni Tete maji yanakotuama masika Hadi...
  19. A

    Parking fees Dar, zimekuwa kero kwetu wenye magari

    Kila eneo ambalo ni la kupaki magari na imefika mpaka nje ya nyumba zetu utaona kijana amevaa reflected coat na kimashine. Wenzetu Afrika hii hii unalipa parking imejengwa kwa lami na surveillamce camera zipo. Kitendo cha ku declare parking at yout own risk wakati unachajiwa ni wizi na dhuluma...
  20. A

    Bundi wanatusumbua mtaani. Nini suluhu

    Kwa anayejua suluhu ya bundi. Mtaani kwetu kuna ghorofa moja ilikuwa haina mtu wakaweka makazi Bundi. Huwa wanalia shwiiiiii shwiiii kuanzia jioni hadi alfajiri. Mpangaji aliyeamia hapo nae ameshindwa kuwaondoa bundi hao. JF kisima cha maarifa cc mshana jr. Runahitaji msaada hatulali kwa kelele...
Back
Top Bottom