Atlantis Voyager
JF-Expert Member
- Jan 19, 2018
- 371
- 504
Kumekuwa na muendelezo wa kupotea potea kwa internet tatizo liko wapi. Tunahitaji maelezo ya kina kwanini tupate shida. Internet ni biashara Sasa hivi.
Tatizo jamaa wanaiba saaana mbKwenye internet mtandao ni vodacom tu.
Kwenye uhakika wa mawasiliano, mtandao ni vodacom tu.
Kwenye huduma bora za wateja, mawasiliano, mtandao n Vodacom tu.
Nimejaribu Halotel, TTCL, airtel 4G zao, hakuna kitu.
Kwa mtu anaependa uhakika wa huduma, vi Vodacom tu.
Ni kama tunawapigia promo ila ukweli kila kitu wanafanya inavyotakiwa,juzi nilipiga 100 tigo kwanza nikasubirishwa robo saa,lakini voda ikizidi ni sekunde 10 wamepokea.Kwenye internet mtandao ni vodacom tu.
Kwenye uhakika wa mawasiliano, mtandao ni vodacom tu.
Kwenye huduma bora za wateja, mawasiliano, mtandao n Vodacom tu.
Nimejaribu Halotel, TTCL, airtel 4G zao, hakuna kitu.
Kwa mtu anaependa uhakika wa huduma, vi Vodacom tu.
Mb za vodacom zinakatika fasta sana!gb inaisha kama mb 50 vile!Kwenye internet mtandao ni vodacom tu.