Umeme unaenda haraka zaidi ya maajabu msaada

Ndugu wadau

Ofisi yetu umeme unaenda unit 40 kwa siku. Tunaomba msaada wa mtaalamu aweze kutusaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
Mtihani! Nenda Tanesco, mita inaweza kuwa mbovu alternatively, ita mafundi wa umeme waangalie wiring yako kama haina leakage.
BUT: UNA VIFAA GANI VINAVYOTUMIA UMEME? Viko katika good working conditions? Nilikuwa na freezer ilikuwa inakula unit 5 a day, nikalitupa, sasa matumizi yangu ni unit moja a day
 
Mkuu kaja fundi kakaza neutral, kacheki leakage kwenye socket braker, anai nstall 4 mm earth wire lakini bado umeme unakimbia kasi ya 4g. Tuna ac lakini haziwashwi maana uchumi ni mbovu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nenden Tanesco na ikiwezekana mje na fundi wao home kabisa aangalie luku yenu au pengine kuna jirani mtundu kaunganiasha anatumia mita yenu bila nyie kujua

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndugu wadau

Ofisi yetu umeme unaenda unit 40 kwa siku. Tunaomba msaada wa mtaalamu aweze kutusaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
Kama hamna wiring structure nzuri inaweza kuwa kuna mtu mjanja amefunga connection yenu inatumika nje. Hapa Duniani kila kitu kinawezekana

Unachotakiwa kufanya ni kufanya majaribio ya kuzima vifaa vyako vyote wakati wa mchana halafu fatilia meter yako kama Inaendelea kusoma matumizi au la

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Dah...bosi kipimo kinaitwa Insulation resistance tester (kipimo Cha ukinzani tenganishi) Mega ni brand name ya zamani sana...na haipo..siku hizi Kuna fluke, Kyeristo, Texas nk no
Usikariri chief

Sent using Beretta ARX 160
kama ichi au akiwezi mkuu
 

Attachments

  • 249216234-540793496.jpg
    249216234-540793496.jpg
    31.6 KB · Views: 11
Ndugu wadau

Ofisi yetu umeme unaenda unit 40 kwa siku. Tunaomba msaada wa mtaalamu aweze kutusaidia

Sent using Jamii Forums mobile app
Fanya yafuatayo
1. Zima main switch halafu kaangalie units kama zinaendelwa kuliwa au la. Kama zinaliwa ita TANESCO
2. Ita fundi akucheckie earth resistance value. Domestic house resistance ikiwa below 10ohms is Ok. Hapabcheck vile vile kama earth rod yako ni pure copper. Tumia sumaku kujua hilo
3. Weka list ya vifaa unavyotumia pamoja na electrical specidications zake, hasa POWER (kW or W) tukushauri zaidi
 
Back
Top Bottom