Atlantis Voyager
JF-Expert Member
- Jan 19, 2018
- 371
- 504
Kinahitajika kiwanja chenye Hati miliki eneo Bunju beach,mbweni, Tegeta pasiwe na maji kutuama. Pawe panafikika ili hata ujenzi was biashara uwe na wateja.kikiwa karibu na barabara si mbaya.
Hususan Mbweni Karibu na Oceanic, isiwe Bakili miluzi au Mbweni Tete maji yanakotuama masika Hadi kiangazi. Offer inaishia Million 23. Kama unacho tafadhali ingia dm tuyakenge tupate fedha za ada mwaka mpya huu.