Msaada wa kiufundi au mawazo

Msaada wa kiufundi au mawazo

Atlantis Voyager

JF-Expert Member
Joined
Jan 19, 2018
Posts
371
Reaction score
504
Nina azam tv imetumika kama miezi 7. Juzi imeanza no signal check if the wire has been connected.

Nikamuita fundi ni me google mafundi azam mtandaoni akaja fundi kahangaika baadae akapata akili ya kuchukua decoder kwenda kwa majirani kuona kama iko sawa . Aka conclude kwamba haipokei signal nikaipeleka azam ikaakaa siku 2 kwa matengenezo nilipopewa waliitest kwao inafanya vizuri lakini kwangu matatizo ni yale yale.

Tulishapiga simu azam wakatuelekeza tu factory reset lakini hakuna kitu. Nini kinaweza kuwa tatizo hapo
 
Lingine ni kwanini mtu unanunua laptop mpya baada ya muda unaambiwa ununue Hard disk mpya ili iendelee kuwa na speed ileile. Window 10 laptop HP. Nini kinasababisha ina kuwa slow kwenye operation za kawaida tu za you tube downloading labda.
 
Kwanza mkuu hdd zishapitwa na wakati, weka ssd, ni model gani hio?

Na si kila machine ikiwa slow ni tatizo la hdd, machine yako ikiwa slow right click taskbar kisha chagua task manager angalia humo cpu, ram, gpu na storage kipi kipo 100%?
 
Back
Top Bottom