Search results

  1. MoroGent

    Ukiwa Kenya unaangalia vipi Derby ya SIMBA na YANGA

    Nipo Mji wa Eldoret Kenya, nawezaje kuangalia live mechi ya Derby wakuu. Nimeenda Bar ni.eulizia kama wataonesha wanajibu hawana uhakika. NI channel gan zinaoneshaga huu mpira wa bongo huku Kenya. Nawasilisha
  2. MoroGent

    CONSULTANCY: Naomba uzoefu, Utaratibu gani unafuta kuwa Personal Consultant Tanzania

    Wakuu hope mko na Jumapili Mjarabu, Naomba kuuliza hili jambo kwa sababu ni moja ya kitu ninachotamani sana kufanya. Mimi ni mtaalam mzuri kwenye profession yangu niliyosomea hasa mafunzo (training). Nimefanya kazi kwenye baadhi ya miradi inayodhaminiwa na mashirika tofauti kwa miaka 5 sasa...
  3. MoroGent

    Ni jina gani la kwako ukiitwa unajua kabisa huyu mwamba nilikutana nae wapi?

    Natumai mko poa Wakuu, Watu tumetembea sehemu nyingi, tumesoma sehemu za shule na vyuo tofauti, kutokana na tabia, upenzi wa vitu, kazi zetu, maeneo tunayotokea na a lot of stuffs, huwa inatokea automatically tunapewa majina na washkaji au jamii yetu. Kwa mfano; Mtu akiniita Mvunaji...
  4. MoroGent

    Mkopo wa HADHINA kwa Watumishi: Naomba uzoefu wa Namna ya kupata Mkopo huu na Changamoto zake

    Wakuu, Naamini mko salama kabsa. Naomba kuuliza, mkopo kwa watumishi wa serikali kutoka hazina kuu huwa unapatikanaje na mtumishi afanye nini kuupata? Nimesikia baadhi ya watumishi wakiwa wanazungumzia kuwa huu ni mkopo mzuri sana na riba yake ni ndogo ukilinganisha na mikopo ya watumishi...
  5. MoroGent

    MOVIES: Top 75 adventure movies you should watch.

    1. Apocalypto (2006) 2. Indiana Jones and the Last Crusade (1989) 3. The Lord of the Rings: The Two Towers (2002) 4. The Empire Strikes Back (1980) 5. The Shawshank Redemption (1994) 6. The Revenant (2015) 7. The Princess Bride (1987) 8. Mad Max: Fury Road (2015) 9. Jurassic Park (1993) 10. Star...
  6. MoroGent

    Ndoto hatari ambazo hupaswi kuzipotezea

    1. Kuota unafanya mapenzi 2. Kujiona upo kwenye geneza au wanakuzika 3. Kuota unaolewa na mtu ambae humjui na hayupo kweye circle yako 4. Kujiona unaogea maji machafu au kuogelea 5. Kuota unakimbizwa na wanyama au nyoka kwenye ndoto 6. Kuota upo kijijin kwenu au shulen 7. Kujiona upo uchi...
  7. MoroGent

    Commonwealth na Chevening Scholarships: Naomba USHAURI, Nilikosa lastly

    Habari wakuu, Nimekuwa nqjitahidi kuomba scholarship za nje, master's degree, lakin nakosa toka mwaka juzi. Niliomba Pan African, Korea, na UK. This time nimeomba Pan African, na kwa wiki hii nipo nipo kwa process nimeshaanza Commonwealth ilitangazwa sept 5 na chevening nayo sept 12. Mwaka...
  8. MoroGent

    RECORDS: Tutajie Wanajamii Forums Maarufu na Wakongwe Uliowakuta Humu

    Habari wakuuu, Naweza kusema mimi sio mkongwe sana, nimejiunga hapa jukwaani mwaka 2018, tokea nimejiunga apa members niliowaexperience kusoma mada na michango yao mingi ni wafuatao; 1.@GENTAMYCINE 2.@FaizaFoxy 3.@Extrovert 4. Pascal Mayalla 5.@Mshana Jr 6.@Behaviourist 7.@Shimba ya Buyenze...
  9. MoroGent

    Trust me or Not: Mwanaume anaendesha ndinga ndo Mchawi wa Totoz

    Habari wakuu, [emoji28][emoji28][emoji28] Hapo kwanza ncheke. Ee bana leo nipo mitaa ya Kasulu, Kigoma hiyo nimekuja kutembea, nipo Lodge moja apa inaitwa China lodge. Sasa kisa kiko ivi[emoji1787] Nimetoka jioni jion mida ya saa moja kunyosha miguu maana nimekaa ndani toka saa 9 jioni...
  10. MoroGent

    Dalili au mambo yanayoonesha kuwa sasa Unaanza kuzeeka

    Ukihitaji kufanya mapenzi mahali unakokufikiria ni kitandani pekee • Unaanza kujaza friji lako kwa vyakula zaidi kuliko pombe • Unatazama taarifa ya habari hadi utabiri wa hali ya hewa • Rafiki zako wanakualika zaidi kwenye harusi, vikao vya harusi kuliko mtoko wa kwenda Maisha Club •...
  11. MoroGent

    Umewahi kukutana na Tabia Gani za kushangaza kwa Mama Watoto wako alipokuwa Mjamzito?

    Habari wakuu, Hope wote mko salama. Wale wenzangu na mimi ambao wake zao ni wajawazito a.k.a baba kijacho tuelezane na kushirikishana maswahibu na changamoto tunazopitia ili tufurahi na kupeana moyo wa kuvumilia. Hahaha Mwenzenu naambiwa nivue nguo nibaki na boxer tu tunapoanza kula chakula...
  12. MoroGent

    Kilimo cha horticulture ni kizuri sana ukizingatia mambo muhimu

    Habari wakuu, Mimi ni mdau wa kilimo na ni mtaalam wa horticulture kwa maana ya profession na uzoefu. Kilimo cha horticulture kinahusisha mboga (vegetables) matunda (fruits), viungo (spices) na maua (floriculture and landscape desin). Vegetables zipo za aina nyingi sana zikiwemo nyanya, hoho...
  13. MoroGent

    Ukiwa Zanzibar, kwa wapiga vyombo na viwanja usikose apa

    Hamjambo wakuu, Moja kwa moja, ukiwa Zanzibar km wew ni mnywaji usikose kwenda CCM, Nyuki na Mkoa, huku utakutana na pombe na wine aina zote, bila kusahau watoto wazuri kwa wasuza rungu. Forodhani jioni ni pazur kwa upepo, maongezi, kurelax na kuonja raha na radha ya kind of foods zote za...
  14. MoroGent

    As a Man, I learned something here to Women, it's like a writer was absolutely in my Mind.

    NYUNDO YANGU LEO INAGONGA KWENU DADA ZANGU. Iwapo ushajifahamu wewe ni mzuri na kila mtu anakusifia basi kichwa kisiwe kikubwa ukajikuta unauza utu wako. . Uzuri wako wa nje usikufanye uwe na fikra za kwamba anayetakiwa kuwa na wewe ni mwanaume mwenye kipato kizuri na mwonekano wa kuvutia kisha...
  15. MoroGent

    Tupeane uzoefu kwa aliyewahi kufika au kuishi Bangkok, Thailand.

    Habari wakuu, Namshukuru Mungu nimepata safari ya kikazi kwenga Thailand mwezi ujao kikazi kwa wiki mbili. Kama mnavyojua, every placemnt is unique, ukienda mahali lazima upate uzoefu kwa waliowahi kufika sehem husika, hivo ningependa kujua utamaduni, vitu nitavovikuta huko, wanaishije na niweje...
  16. MoroGent

    Ukweli kuhusu ushirikina wa Wachina katika ujenzi wa Barabara.

    Habari wakuu. Bila shaka wengi tunafahamu kuhusu ujenzi wa barabara hasa katika nchi yetu, barabara zilizo nyingi hujengwa na wao. Mfano barabara ya Arusha-Dodoma-Iringa, Tunduma-Sumbawanga-Kasanga. Nimekutana na mmoja wa labor waliowahi kufanya kazi km kibarua katka barabara zinazojengwa na...
  17. MoroGent

    Mara nyingine, Nahitaji mwanamke Wa kuishi nae.

    Nina miaka 29, Nina kazi, Nipo Dodoma, RC, Nahitaji mwanamke mzuri Wa tabia, sura na akili timamu tuanze maisha. Uchumba 1 month, tunaanza familia. Majukum ya kazi na geto, na upweke pia. This is serious, wadada wenye sifa, mkuje pm plz. Sent using Jamii Forums mobile app
  18. MoroGent

    Natafuta girlfriend wa kupanga nae maisha.

    Habari wanajukwaa, natumai wote ni wazima, Naeomba niende kwene point direct, ni kwa muda sasa nimekaa na kutafakari kuwa siwezi kuendelea kuwa single kutoka mwaka huu,nimefanya juhudi za kutafuta msichana wa kuwa nae lakin kila ninae mface anadai ana mtu na mwinginge hayupo tayari, Hivyo...
Back
Top Bottom