MoroGent
Member
- Jan 10, 2018
- 79
- 311
Wakuu,
Naamini mko salama kabsa.
Naomba kuuliza, mkopo kwa watumishi wa serikali kutoka hazina kuu huwa unapatikanaje na mtumishi afanye nini kuupata?
Nimesikia baadhi ya watumishi wakiwa wanazungumzia kuwa huu ni mkopo mzuri sana na riba yake ni ndogo ukilinganisha na mikopo ya watumishi benki za kawaida hizi za biashara (NMB, CRDB na ect).
Lakini changamoto ni kuwa huwa inapatikana kwa wakubwa au ngazi za juu wa watumishi au kwa connection, je kuna ukweli?
Mtu afanyeje ili kufaidika na hii fursa.
Uwanja ni wenu Wazoefu.
Nawasilisha.