CONSULTANCY: Naomba uzoefu, Utaratibu gani unafuta kuwa Personal Consultant Tanzania

MoroGent

Member
Jan 10, 2018
79
311
Wakuu hope mko na Jumapili Mjarabu,

Naomba kuuliza hili jambo kwa sababu ni moja ya kitu ninachotamani sana kufanya. Mimi ni mtaalam mzuri kwenye profession yangu niliyosomea hasa mafunzo (training).

Nimefanya kazi kwenye baadhi ya miradi inayodhaminiwa na mashirika tofauti kwa miaka 5 sasa. Kwa uzoefu huu nataman kuwa Consultant, kwa maana ya kwamba niwe na office yangu na niwe naaply na kufanya kazi za training sehemu tofauti tofauti na kupata kipato.

Sasa sijui naanzia wapi wakuu ili niweze kufanikisha jambo langu na kuwa rasmi ili hata nikipata kazi naweza kuaminika na mtu binafsi au taasisi.

Naomba kuwasilisha.
 
Consultant wa kitu gani?


Anewei
Anza kujenga brand yako kwanza kwa kujitolea na ku capture Kila tukio
 
Back
Top Bottom