MoroGent
Member
- Jan 10, 2018
- 79
- 311
Habari wakuu,
Mimi ni mdau wa kilimo na ni mtaalam wa horticulture kwa maana ya profession na uzoefu. Kilimo cha horticulture kinahusisha mboga (vegetables) matunda (fruits), viungo (spices) na maua (floriculture and landscape desin).
Vegetables zipo za aina nyingi sana zikiwemo nyanya, hoho, caroti, vitunguu n.k na zingine hazilimwi sana zinaliwa hotels kubwa na masoko yannje km broccoli, cauliflower, red and yellow pepper, lettuce, zucchini n.k.
Fruits kama passion, banana, papaya, nanasi n.k ni mazuri ukilima kibiashara.
Spices kama tangawizi, swarms na herbs km celery, coriander na basil ni nzuri na hazichukui muda mrefu kiivo.
Mazao haya yote yanahitaji uwekezaji katika eneo moja kubwa kama la eka 5 mpk kumi ambalo kwa kilimo hiki ni kubwa sana. Muhimu hakikisha umeweka miundombinu ya maji km vile drip irrigation na uwe na maji ya uhakika either uchimbe au uvute karibu na mto permanent. Ni vizuri ukwa na screehouse kwa ajili ya tango, nyanya na hoho itakulipa zaidi.
Muhimu sana ni kwamba ukilima kwa kutumia crop calendar kwa target ya miezi flan tu, ukalima rarely supplied vegetables kwa contract farming supply, ukazingatia utaalam na ubora wa mazao, nakuhakikishia soko utapata nanutauza mazao vizuri kisha utapenda kilimo cha horticulture.
Nakushauri ukiachana na fedha ulizonazo na biashara zingine au micho unayopiga, ukajaribu kuwekeza na huku utaweza kuongeza kipato chako kwa namna nzuri na kufanya u-settle somehow.
NOTE: Usikurupuke na kukimbilia na kuacha kila kitu ukaja kufanya horticulture ili utoboe faster, BIG NO, Utalia hiki kilimo kina risk nying ikiwemo high perishability ya mazao, diseases and pest invision, price fluctuations, labor and supervision risk ambazo ni rahisi kukupa hasara na kupoteza fedha in a very short time.
Hivyo basi, PLAN, INVEST AND STUDY THE WIND TO IMPROVEMENTS FOR PROFITABILITY.
Don't put all eggs in the same bucket.
Asante sana wadau, muwe na siku njema.