Mara nyingine, Nahitaji mwanamke Wa kuishi nae.

MoroGent

Senior Member
Joined
Jan 10, 2018
Posts
149
Reaction score
473
Nina miaka 29, Nina kazi, Nipo Dodoma, RC,
Nahitaji mwanamke mzuri Wa tabia, sura na akili timamu tuanze maisha.
Uchumba 1 month, tunaanza familia.
Majukum ya kazi na geto, na upweke pia.
This is serious, wadada wenye sifa, mkuje pm plz.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
kaka domo zege nini umeshindwa hata kujipatia huyo binti mwenye hizo sifa,kazini kwako,mtaani kwako na kanisani bhagosha?
 
Amini usiamin ndugu yangu....pindi utakapompata huyo mwanamke atakusumbua Sana Tena sanaaaaa

Nakumbuka mm nilikua Ni mwanaume nisie jua kutulia na wanawake Sasa nilipata Kaz huko uarabuni nikakaa mwaka mzima bila kuwepo kwenye mahusiano Jambo lililonifanya niwe na uwezo wa kukaa bila mwanamke ...nliporud bongo nikasema ngoja nitafute mwanamke na nitulie nae yaan niache ukicheche ila yanayonikuta naona Bora nirud kwenye ubora wangu Kama mwanzon

HAya mapenz Kama hujazoea Bora uwe kicheche tu
 
Nina miaka 29, Nina kazi, Nipo Dodoma, RC,
Nahitaji mwanamke mzuri Wa tabia, sura na akili timamu tuanze maisha.
Uchumba 1 month, tunaanza familia.
Majukum ya kazi na geto, na upweke pia.
This is serious, wadada wenye sifa, mkuje pm plz.

Sent using Jamii Forums mobile app
Kazi yako Baba mkuu tafadhali, wajihi wako, tapika ueleweke mfano magonjwa ya familia yamo? uchawi wa ukoo hauna kweli? uzezeta wa familia hamna? magonjwa ya kurithi kama kifafa, ukichaa nk mnaishije kifamilia Baba yupo? au alimkimbiaga mama kitambo. kiukoo ni aje mmeshikamana au mmesambaratika hamzikani. je ni watu wa kuachaacha wake zenu ki historia, je ni wapuuzipuuzi hivi, je nyie ni walevi wa pombe? kama ndiyo pombe gani eleza hasa kiukoo, mataptap au Bia nk, jieleze baba siyo nusu nusu.kuna warembo humu wako vizuri -smart

Mungu je, mna hofu naye/ je mwamjua achilia mbali Dini au wewe peke yako kujipeleka kwa kajikanisa ili u-trap mtu mke zaidi ya yoote ueleze kwa nini huna mke uzee wote huu. wavulana wanapata videmu kuanzia miaka 9 kuendelea. wanashikamana weye bado mpweke? mpweke!!!!
 
Ukichunguza yote haya na kufanikiwa basi utajikuta umeshavuka umri wa kuolewa...
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom