Search results

  1. October man

    Dunia ilipofikia ushindani ni mkubwa sana

    Wadau hii Dunia imejaaa watu kwasasa (Full), Competition kubwa sana hasa kwenye nyanja ya uchumi. Wewe unapofikiri kitu kidogo tu na kuona fikra yako just a little/a fun kuna mtu anawaza kama unachowaza wewe tena akiwa serious. Jana kuna sehemu nimeona hii ni Deal kwa ishu fulani ngoja kesho...
  2. October man

    Pitia hii Marketing Company (Startup) utoe mtazamo

    Wadau Kwenye Biashara jana nilivyokuwa natoka chimbo langu la mishikaki mwanangu mmoja alini-Invite tukutane. Jamaa ameniambia anataka kuanzisha Startup Company mimi niwe Co-founder wa Startup hiyo amenielezea wazo zima. Idea nzima ni Startup Company itayojihusisha na Advertisement/Marketing...
  3. October man

    Nataka kufahamu pesa inayoweza tumia kampuni kubwa kutangaza bidhaa zake

    Wadau Kwenye Biashara Nahitaji kujua mambo mawili. Suala la kwanza, hizi kampuni kubwa kama Metl, Azam, Azania, Startimes nk zinaweza Spend kihasi gani cha pesa kwenye kufanya matangazo mfano wamezalisha product mpya sokoni au Huduma fulani. Mfano wa kampuni kama KEDS inajihusisha na...
  4. October man

    Nitajie shule za Private kuzunguka mkoa wa Dar es Salaam

    Anayejua Shule za private zisizo na majina makubwa zilizopo DSM na pembezoni mwa mkoa wa Dar es Salaam. 1) Upande wa kusini; maeneo ya kutoka Mbagala rangitatu mpaka mkuranga. 2) Upande wa kaskazini; kutoka DSM mpaka Kibaha. 3) Magharibi; kutokea ukonga mpaka kisarawe. Kama unaijua shule...
  5. October man

    Kuna Therapist humu jamvini

    Wadau mimi nimesoma psychology napenda kuuliza kama jukwaani kuna Therapist/Mshauri anayetambulika na serikali, naulizia utaratibu wa kupata vibari ili kitambulika na serikali kama Therapist. Pia nataka kujua fursa nzima iliyo kwenye hii professional hapa nchini kama Pschothepist wa kujitegea...
  6. October man

    Wauza biashara shule za msingi Arusha

    Kuna mdau alinieleza Arusha yeye anauza mishikaki shule ya msingi wanafunzi wanauwezo wa kununua kwa bei ya 300 Tzs mshikaji mmoja, kwa DSM wanafunzi hata 100 wanaona nyingi alafu vitu vyote wanavyouza shule za msingi 100 Tzs. Huyu jamaa tungeongea hili suala ila last seen yake inaoneshwa...
  7. October man

    Tuongelee Saving yenye mafanikio

    Nikiwa namalizia miezi ya mwisho mwisho kuwa hapa JF tuongelee Saving. Binafsi nina performance atleast kwenye Saving tangu pale nilopoweza kufanya-saving ya 800,000 Tzs kutoka katika 1M ambayo ni pesa ya ma-Boom mawili ya chuo ya miezi minne, kwahiyo kila mwezi nilitumia 50,000 Tzs only...
  8. October man

    Anayemjua Chatu

    Hivi kichwa cha chatu kimeumbaje hata sielewi maana unaweza kukuta chatu kameza kiumbe ule ukubwa wa kilichomezwa unakuta kina Diameter ×30 ya kichwa cha chatu yaani kichwa cha chatu size ya kiganja cha mkono ila kilichoingia ndani kina unene wa QFL magodoro Dodoma mawili uyabadanishe. Alafu...
  9. October man

    Jamii inaipa uzito sana ajira, kwani hakuna vyanzo vingine vya pesa?

    Jamii zetu inaipa uzito ajira mpaka mtu unaweza amini bila ajira huendi peponi. Uzito mkubwa kihasi jamii inabukiza upofu kwa vijana kutokuona kama kuna njia nyingi za kuingiza kipato (Cash Flow) labda kwasababu jamii hizi zetu ziko out of maarifa na taarifa sahihi sasa ujinga huo wanautumia...
  10. October man

    Hakuna kinachoshindikana chini ya jua (huu msemo ni uwongo)

    Leo nilikuwa naangalia TV na washkaji hivi, kuna kipindi kilikuwa kinaonesha uwekezaji wa kiwanda kipya cha kuchakata ng'ombe kibaha, kampuni inaitwa TAN CHOICE, uwekezaji umetumia Dollar Million 15. Jamaa mmoja akasema siku moja nitamiliki kiwanda kama hiko, tukampinga haiwezekani, jamaa...
  11. October man

    Unapenda kiliwazo gani unapopanda kitandani?

    Asilimia kubwa wanapenda kusikilizwa music/Blues. Mimi bila U-Flesh juice na karanga za miamia 2 silali, iyo ishakuwa kama starehe ninavyoperuzi JF nakula karanga moja nanyonya U-Flesh mpaka chaji inaisha bado vijaisha. Wewe kitu gani unakula ukipanda kitandani?
  12. October man

    Kuwa na mademu wengi kumbe muhimu

    Kumbe kuwa na demu mmoja jau sana yaani jitu unalibembeleza yeye tu kilasiku yaani jumba kubwa nalala pekeyangu week nzima mpaka wakina Annabele na The NuN wanitokee. Lenyewe linaringa hilo naliacha leoleo.
  13. October man

    A Story kutoka Zero mpaka Hero, Uzi wa mirejesho (Msoto, Malengo, Ndoto)

    A day am inspired kuandika tu. Huu uzi lengo lake kuonesha safari ya maisha yetu halisia kiuchumi kutoka step moja hadi step nyingine, unachofanya ni kuonesha/kueleza hali hali ya kiuchumi uliyonayo sasa iwe ngumu au ya msoto na kueleza baadhi ya malengo yako unayotarajia kutimiza kulingana na...
  14. October man

    Siyo vizuri mwanamke kuwa na kitambi (nyama uzembe)

    Let Be Real. Mwanamke mwili wake ndio pambo lake, ndio maana wanasema mwanamke uwa, Mwamke aliye Smart anaujari mwili wake kwenye maeneo tofauti tofauti. Kwa mwanamke aliye Smart hawezi jiachia kitambi (manyama uzembe), mwanamke anayejari mwili wake hawezi kuwa na kitambi bila kufanya namna ya...
  15. October man

    Napenda Wanawake wembamba

    Hivi kuna mtu anapenda Mademu wembamba au mimi tu? Wembamba wazuri, mamanzi wengi wembamba nikiwaona nawaona wazuri. Manzi mwembamba akivaa suruali ya kibana zile paja zinavyochongeka zinavutia. Siwezi kuwa na Manzi mnene simaanishi bonge hata aliye moderate, mimi wembamba ndio model zangu...
  16. October man

    Bored Day

    Nipo bored nitajieni Garden ya kwenda kutulia siku ikaenda. Movies gani yakucheki siku iishe. Member gani aliboreka kama mimi tu-meet tule story.
  17. October man

    INAUZWA Kibanda cha uwakala Tsh, 290,000/=

    Kibanda cha Uwakala Size 3×3 Square metre Location : Mbezi ya Kimara Bei 290,000 Tzs.
  18. October man

    Saidia wahitaji ukiwa na uwezo (life is short)

    Nilikuwa naangalia TV naona jamaa anauvimbe mkubwa kichwani una miaka 10 unamtesa uwezekano wa kupasuliwa upo ila pesa hana itahitajika 500,000 Tzs tu So sad watu wana mamilion kwenye Bank. Ndoto yangu kubwa kupata pesa nyingi kuishi maisha mazuri. I never regret my dream, but leo naona kabisa...
  19. October man

    Zingatia mfumo wa (LSD) unapobuni Biashara

    Huu ni muendelezo wa uzi huu ↓↓ Mambo unayohitaji kufanikisha ndoto yako kiuchumi - JamiiForums Humo nilielezea vitu vitatu Dream, Goal na Plan na vipi unaviendea tuliishia kwenye PLAN(Hustle) nilieleza Hustle(Plan) ndio njia unayoibuni ku-rise Mtaji wako hivyo inabidi ubuni kitu kinachokupa...
  20. October man

    Hizi nyimbo nisizozipenda sana record yake haijavunjwa

    Binafsi toka Tz ipate Uhuru nyimbo nyingi sana nzuri nimezikubali ila kuna nyimbo nasema hakuna itakayotokea nikaipenda kama hiyo (toa suala la kuchuja), nazungumzia nyimbo pale imetoka ipo kwenye Hit unavyo e-feel, hizi ndio nyimbo ambazo mpaka sasa hakuna nyimbo imetokea nika e-feel/kuzipenda...
Back
Top Bottom