October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,635
- 4,997
Wadau mimi nimesoma psychology napenda kuuliza kama jukwaani kuna Therapist/Mshauri anayetambulika na serikali, naulizia utaratibu wa kupata vibari ili kitambulika na serikali kama Therapist.
Pia nataka kujua fursa nzima iliyo kwenye hii professional hapa nchini kama Pschothepist wa kujitegea au kufanya kazi kwenye sectors mbalimbali kama Sector ya Afya (Hospital) na sector zingine.
AJIRA : shule inayohitaji mlezi wa wanafunzi (Patron), Mshauri wa wanafunzi naomba hiyo fursa nimesomea Psychology katika elimu pia nime specilize kufundisha History na Geography.