Tuongelee Saving yenye mafanikio

October man

JF-Expert Member
Nov 23, 2017
3,635
4,997
Nikiwa namalizia miezi ya mwisho mwisho kuwa hapa JF tuongelee Saving.

Binafsi nina performance atleast kwenye Saving tangu pale nilopoweza kufanya-saving ya 800,000 Tzs kutoka katika 1M ambayo ni pesa ya ma-Boom mawili ya chuo ya miezi minne, kwahiyo kila mwezi nilitumia 50,000 Tzs only.

Falsafa yangu kwenye Saving 1)Haijarishi kipato changu napata kihasi gani ila hicho kipato nikiwa napata katika mfumo wowote wa kuingiza kipato Continuous kwamaana ya (kila siku/week/mwezi nk) nk lazima nifanye Saving, hata nikiwa napata 100,000 kwa mwezi nita-save.

2) Nikiwa nafanya Saving kitu pekee kinachokuwa cha lazima kutoa pesa ni chakula tu then ndio naangalia mengine je hiki na hiki muhimu wa kutoa pesa.

Saving kufanikiwa kwa kwa 90% kwanza kuwe na kitu kinacho ku-motivate kufanya Saving i.e kupata Mtaji, Pesa ya ujenzi nk...bila ya kuwa na target Saving inakuwa ngumu sana.

Kwa kijana kuna vitu vinavyoweza kukwamisha Savingi yake kuyumba/kutokuwa na mafanikio makubwa ukitoa sababu zingine ndogondogo, sababu moja wapo majukumu ya lazima, majukumu yamejigawanya katika maeneo mawili

1) Ya kuzaliwa nayo; haya ni kutegemewa na wazazi kila mtu akizaliwa yanamuhusu, haya hayaepukiki ila unaweza kuji-balance kidogo kuwawezesha wazazi kutegemeana na nature ya hao wazazi maana kuna wazazi chokambaya kabisa kuna wenye unafuu, sio unatoa tu maana pesa haimtoshi mtu.

2) Majukumu ya kujitakia; haya ni pale unapoamua kuoa, kuzaa au vyote kwa pamoja, kuoa hali ya kua uja-stable kiuchumi hata kwa 10% ni moja ya Bad Plan au kosa kubwa la kiuchumi unaloweza kufanya maishani, stablelize japo 5% maisha yako fanya Saving wekeza then ndio oa pale unapokuwa na source hata 2 za kipato kwamaana sehemu moja ya kuhudumia familia yengine yakufanya Saving ila ukianza kujipa majukumu hata iyo Saving ndogo itakuwa shida na ukiiweza hata 50% jua ungekuwa Single ungeiweza kwa 100%.

There is no Business you can start in this world without funding and Saving is best way of fundraising for your Business.

My Take:
Inaweza kuwa vizuri mtu mmoja akaanzisha Group la Saving yenye malengo maana Saving imekuwa changamoto kwa watu wengi.
 
Acha uoga, pesa kazi yake kutumiwa na kutafutwa, kadri unavyoniweza na thamani hupotea
 
Napenda sana na naweza sana Savings. Japo kwa sasa ni changamoto baada ya kuwa na familia ila najitahidi sana kwa mwezi ni save hata 40% ya nitakachopata. Inanifanya nakuwa poa sana pale ninapokuwa na malengo yangu.
 
Mie saving naweza...Ila nimegundua majukumu yamenizidia...mhh!
 
Hongera aisee
 
Nakupa njia mbili za saving...hizo ukizishindwa wallah umaskini unaupenda

1: Vodacom mpawa Akiba:hii unaweka hela huku unaji funga kua ile hela utatoa baada ya either miezi 3,6 au mwaka...na si kabla ya hapo .hii ni Kama fixed account pia. Na utapewa gawio kidogo kutokana na ulivoweka Akiba yako.
2:Ukatili style: hii niliichukua kwa watani zangu wachaga...unachomelea boksi la chuma na unaeka lock za mageti ..na kitundu kidogo Cha kuwekea hela....halafu tuseme labda we unakaa dodoma..funguo unampa ndugu yako wa Kilimanjaro uko au dar ...kwahyo we unakua unaeka hela uku Cha kufungulia huna. Baada ya mwaka mkikutana ndo anakupa funguo...unatoa mzigo....hii staili ni ya kibabe
 
Hii ya Voda nimeipenda nitaifuatilia, nilikuwa na wazo la kuwa na kitu kama hiko kumbe kipo Tz hii nzuri kama unajipiga Lock unaweka ila kutoa hutoi.
 
Nakupa njia mbili za saving...hizo ukizishindwa wallah umaskini unaupenda

1: Vodacom mpawa Akiba:hii unaweka hela huku unaji funga kua ile hela utatoa baada ya either miezi 3,6 au mwaka...na si kabla ya hapo .hii ni Kama fixed account pia. Na utapewa gawio kidogo kutokana na ulivoweka Akiba yako.
2:Ukatili style: hii niliichukua kwa watani zangu wachaga...unachomelea boksi la chuma na unaeka lock za mageti ..na kitundu kidogo Cha kuwekea hela....halafu tuseme labda we unakaa dodoma..funguo unampa ndugu yako wa Kilimanjaro uko au dar ...kwahyo we unakua unaeka hela uku Cha kufungulia huna. Baada ya mwaka mkikutana ndo anakupa funguo...unatoa mzigo....hii staili ni ya kibabe
Hivi mpawa Hamna makato?au kulipia account
 
Mie saving naweza...Ila nimegundua majukumu yamenizidia...mhh!
kitu bora hapa hata kama majukumu yamezidi, huwa nasema hata kama unapata lets say 700,000 per month, ishi kama mtu anaepata laki 4, matumizi yaendane na lak 4, ona kama laki 4 ndo unayopata, panga bajeti zako zote kulingana na laki4, laki 3 fanya saving. inawezekana. Huwa nasema kama kuna watu wanapata laki2 au 3 wanaish why usifanye kama unapata lak 4 na ukaish nayo na 3 ukafanya saving?
 
kwnn ujitese yaan upate laki 7 uishi kma unapata laki4 dooooh uo ni ujinga'" ishi kutokana na kipato chako
 
Nilishajipangia had dec31 niwe nna hela fulani kwa acc ..acha nichakarike. Hela mie nna bahat kwakweli inakuja Ila dah🙌!ujinga huu . ...umenichoma moyoni!..Asante kwa alert
 
Mkuu hii ya vodacom inakuwaje unaenda menyu ipi ?

Nilienda kuulizia posta kufungua akaunti ya wadu nao wana hiyo system yani unaandika kila mWezi unataka ukatwe kiasi gani kwenye mshahara wako na kwa muda wa miezi mingapi unaandika,na automatic unakatwa kwenye mshahara bila wewe kutumia huko...

Vodacom na wadu ipi bora..
 
kwnn ujitese yaan upate laki 7 uishi kma unapata laki4 dooooh uo ni ujinga'" ishi kutokana na kipato chako
Sote binadamu Malengo tofauti, ukipewa Malengo ya baadhi ya watu uya-Hold kichwani kwako hata kwa siku moja utapasuka kichwa.

Be Calm.
 
Back
Top Bottom