October man
JF-Expert Member
- Nov 23, 2017
- 3,632
- 5,023
Nilikuwa naangalia TV naona jamaa anauvimbe mkubwa kichwani una miaka 10 unamtesa uwezekano wa kupasuliwa upo ila pesa hana itahitajika 500,000 Tzs tu So sad watu wana mamilion kwenye Bank.
Ndoto yangu kubwa kupata pesa nyingi kuishi maisha mazuri. I never regret my dream, but leo naona kabisa hii ndoto ni ya kibinafsi mimi nikiwa na maisha mazuri vipi kuhusu wengine wanaotaabika mfano sasa sina maisha mazuri akatokea aliyekuwa na maisha mazuri sasahivi akasema October man chukua hii 500,000 Tzs ikupush si nitafurahi na kushukuru Mungu vipi sasa furaha hii nikaja kuisababisha kwa watu kadhaa waliokuwa wahitaji kipindi hiko nishakuwa na hayo maisha mazuri -- wagonjwa, waremavu, masikini nk.
Maisha tunapita; mwisho wa siku tunakuwa mzoga. Economically rasilimali zote ulizochuma unaziacha ila kama ulisaidia watu hiyo itakuwa rasilimari endelevu (Sadakat Jaaria) kila atapo kukumbuka uliyemsaidia unaji-feel good kaburini.
Umebarikiwa umefanikiwa kufikisha 100 Millions unatenga 5 Millions kusaidia binadamu wenye shida kubwa
1) Wanaoteseka na Maradhi. Kuna watu wanateseka na Maradhi gonjwa kwa miaka 15 uvimbe eti upasuaji unahitaji 500,000 Tzs tu.
2) Njaa
3) Mitaji
4) Ada za vyuoni
Million 5 unaweza saidia watu wa aina hii zaidi ya 10 Asante zao kwa Mungu lazima wa-tag jina lako kwenye maombi yao unaweza kuta hata njia zako za kiuchumi zinapungua changamoto, biashara zina-Scale Profit, unapata ajira nzuri zaidi nk.
Kuna muda huenda tunakutana na changamoto zisizoisha kwenye safari ya maisha ajira hatupati, mtaji hupati, biashara haziendi kwasababu maono yetu ni ya kibinafsi sana ku-hustle kupata gari zuri. Tukiwa na maono ya kuja kusaidia wengine huenda njia ikawa rahisi kabisa.
↓↓Bottomline
Anza leo kusaidia wahitaji huijui kesho yako, huenda wewe ndio kesho ukawa muhitaji zaidi ya unayehitaji leo msaada.
....GOE.