Dunia ilipofikia ushindani ni mkubwa sana

October man

JF-Expert Member
Nov 23, 2017
3,635
4,997
Wadau hii Dunia imejaaa watu kwasasa (Full), Competition kubwa sana hasa kwenye nyanja ya uchumi.

Wewe unapofikiri kitu kidogo tu na kuona fikra yako just a little/a fun kuna mtu anawaza kama unachowaza wewe tena akiwa serious.

Jana kuna sehemu nimeona hii ni Deal kwa ishu fulani ngoja kesho niulizie landlord leo kupita nikasema ngoja nimuulizie landlord nakuta landlord wa eneo anazungumza na watu wanaonekana wazito wamekuja na ndinga kabisa kwamaana wametoka Kilometre sindogo inonesha jinsi gani wapo serious na walichojia pale mimi nilivyosubiri mazungumzo nikamFace landlord namwambia 123 ananiambia hao unao waona nao wamekuja kuuliza unachoulizia nikasema mimi naleta jokes kumbe watu wako na serious.

Ila nilitumia nafasi kuwa-pich kama ishu wanayotaka ifanya washakuwa na manager mbaya wakasema tiali wanaye nafasi iliyobaki kuwa labor wakawaida.

Ngoja niendelee kufatilia ma ishu yangu makubwa yakizingua nikawe labor tu maanake nishatengeneza Loophole.

Ila Dunia ilipofikia competition kubwa kama hujawa flexible unaweza achwa na hii kasi.

Rich being richer and Poor being poor.
 
Back
Top Bottom