Search results

  1. Glenohumeral joint

    Wanawake Wana drama hatari

    Salamu zenu jamani watu wa humu...habari za kazi zenu popote mlipo..mm ngoja niende moja kwa moja kwenye mada. Kuna binti nimedumu nae ktk uhusiano kwa mwaka mmoja na Kama miezi miwili hvi,huyu binti ni mwanafunzi wa chuo,binti wa kinyaturu,mweupe ,mrefu na n mzuri hakika aisee... Kipindi...
  2. Glenohumeral joint

    Nini tiba ya mtu asiyehisi chochote (hisia) wakati wa tendo?

    Tiba inategemea na chanzo chenyewe, vyanzo ni tofauti.
  3. Glenohumeral joint

    Wanawake wa hivi kumbe bado wapo

    Nmeshangaa huyu mwanamke wa rafiki yangu aisee, ni bahati kupata mtu wa hivi.
  4. Glenohumeral joint

    Mke tabia jamani...

    Nimeamin mwanamke wa kuoa yafaa awe na tabia nzuri tu,hata sura isipovutia kivilee tutavumiliana tu....Ben ana sura nzuri kulko mkewe[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] Sent using Jamii Forums mobile app
  5. Glenohumeral joint

    Hivi hii no.18 ni kweli?

    Je sifa za wanawake wa makabila haya n kweli?hasa hii no.18?
  6. Glenohumeral joint

    Ujana unapelekesha aisee....

    Kiukweli maisha ya ujana yana changamoto sana ila leo nahitaji kuweka moja tu ambayo huwa IPO kwangu na kwa vijana wenzangu ambao bado hawajaoa . Changamoto hii ni suala zima LA kusali na kumuabudu Mungu ktk ujana huu ...mm kama kijana ambae sijaoa ila nina mpenzi nakosa ujasiri wa kwenda...
  7. Glenohumeral joint

    Nahama voda rasmi....

    Bei za vitu zmepanda hadi mabando yamepanda... Nina laini za ziada mbili ambazo n tigo na airtel...vp huko kuna afadhari kwenye mabando???
  8. Glenohumeral joint

    Kule kwetu mkoani wajuavyo kuhusu ukoma..

    Kipindi nakua na kuishi huko kijijini kwetu hakika ukoma ulkuwa ni ugonjwa ulioogopeka sana ..uliwekwa ktk hadhi sawa na UKIMWI na watu waliamini hakuna dawa za hospitali zinazoweza kuutibu ugonjwa huu...pia waliamin na bado wanaamini hadi sasa kuwa ukoma ni ugonjwa wa kuambukizwa kwa kufanya...
  9. Glenohumeral joint

    Tuliotanguliwa kuoa/kuolewa na wadogo zetu tukutane hapa

    Kiukweli mm mdogo wangu amenitangulia kuoa,na Leo n sherehe ya harusi yake.... Mm naishi DSM na kwetu n mkoani huko sasa ndio nikapewa hbr za hyo harusi...nmefurah lkn kwa upande mwingne nahis kama nimezubaa hadi dogoo kaniwah...nmempigia bi mkubwa kanicheka sana,kasema namm nichangamke et...
  10. Glenohumeral joint

    BASATA mna nini na Rostam jmn...

    Nmesikitika kwa taarifa nilizozikuta huko mitandao mingne kwamba BASATA wamewataka Rostam waufute wimbo wao wa parapanda kwenye account ya YouTube... Binafs hili baraza nahisi wanakoelekea n kuua kabisa sanaa ya muzik wa kizaz kipya..nmeusikiliza huu wimbo kama Mara kumi HV lkn sijaona makosa...
  11. Glenohumeral joint

    Inawahusu wenye ndoa imara zenye furaha.

    Mm kama kijana wa kiume ambaye ntakuja kuoa miaka si mingi sana kuanzia sasa nawaasa wale wenye ndoa nzuri zenye furaha wawe wanakuja kutoa wosia na kushuhudia ndoa zao huku jf... Nasema HV kwa sababu ,toka niingie jf na hasa jukwaa LA mahusiano nakutana na mada zilozogubikwa na migogoro sana...
  12. Glenohumeral joint

    Kusaidia watoto yatima....

    Kuna utaratibu wa vikundi vya dini uko huku vyuoni wa kuwasaidia watoto yatima..kiukweli n tabia nzuri na hata mm napenda sana... Lkn shida imekuwa moja...mpk binafs nmeanza kuuchukia...kilichonifanya niuchukie n kitendo cha watoa msaada wanachofanya baada ya kutoa msaada wenyewe...yaan...
  13. Glenohumeral joint

    Je, Mungu kaumba baadhi ya wanadamu kwa upendeleo wa akili na maarifa?

    Binafsi linapokuja suala la kutumia akili ili kuleta maendelea kibinafsi na kijamii huwa nashindwa kuelewa. Kwanini wazungu na sisi watu weusi tuna utofauti sana ktk global development contribution? Huwa najaribu kufikiria how this life would have been possible kama Mungu asingeumba watu hao...
  14. Glenohumeral joint

    Looking for positive friends...

    I am looking for friends both males and females to chat with and share different ideas and life experiences in general....I currently stay in DSM for academic reason.I am a male taking my undergraduate degree in Doctor of medicine (MD) at Muhimbili university of Health and Allied Sciences...
  15. Glenohumeral joint

    Je, ni haki kuwa na demokrasia katika mahusiano?

    Naomba kuuliza jmn ,hivi na haki kweli kuwa na demokrasia ktk suala la mahusiano, yaan mwanaume na mwanamke kuwa na haki sawa? ..mm binafsi kwa sasa naona sio sawa kabisa ,niliwah kuweka haki sawa na mpenz wangu yaan kila kitu had tukubaliane wote ndio kifanyike ila baadae alianza kuniletea...
  16. Glenohumeral joint

    Mwanamke mwenye kipato na asiyenacho, yupi ni bora kwa maisha ya sasa?

    Hivi kati ya kuwa na mwanamke mwenye uwezo wa kutengeneza kipato chake mwenyewe ila hana heshima kivile, ana dharau yaani kukufokea haoni tabu na kuwa na mwanamke ambaye yeye fedha hana na uwezo wa kutengeneza fedha ni changamoto mpaka umuwezeshe kisawasawa ila kizuri chake ni kwamba...
  17. Glenohumeral joint

    Ndoa ni kizungumkuti..Kutoa msaada hadi apate ruhusa kwa shemeji!

    Naomba kuwauliza mlioa jamani... Hivi ukimuomba msaada kaka yako wa damu kabisa uwe ni wa pesa au hata kitu chochote ambacho kipo ndani ya uwezo wake lakini yeye badala ya kukupa wewe mdogo wake anakwambia kwamba unatakiwa ukamuulize mke wake kwanza yaani shemeji yako, akikubali ndio utapewa...
Back
Top Bottom