Kule kwetu mkoani wajuavyo kuhusu ukoma..

Kule kwetu mkoani wajuavyo kuhusu ukoma..

Glenohumeral joint

JF-Expert Member
Joined
Oct 29, 2017
Posts
2,054
Reaction score
2,917
Kipindi nakua na kuishi huko kijijini kwetu hakika ukoma ulkuwa ni ugonjwa ulioogopeka sana ..uliwekwa ktk hadhi sawa na UKIMWI na watu waliamini hakuna dawa za hospitali zinazoweza kuutibu ugonjwa huu...pia waliamin na bado wanaamini hadi sasa kuwa ukoma ni ugonjwa wa kuambukizwa kwa kufanya ngono isiyo salama yaan kavukavu ni husema ukoma na ugonjwa wa kurithi ktk familia.

JE UKWELI WA MAMBO UKOJE KUHUSU UKOMA?
Katika kusomasoma kwangu hapa na pale nilijifunza kuwa ukoma sio ugonjwa wa kuambukizwa kwa njia ya ngono isiyo salama(i.e leprosy isn't an STI) bali n kwa njia ya kugusana kwa muda mrefu(long term contact) na mkoma na bacteria wasababishi kitaalaamu huitwa Mycobacterium leprae huishi ktk ngozi hvyo hali yoyote ya physical contact inayoweza sababisha mixing of the body fluids kama jasho na mkoma na asiye mkoma huweza kumfanya asiyemkoma apate ukoma...pia baadhi ya articles zinasema ugonjwa huu huweza kuambukizwa kwa kuvuta hewa ya MTU mwenye ukoma(Respiratory droplets containing M.leprae bacilli) japo uchunguz unaendelea ktk hili.Kufanya mapenz na mkoma huweza kuambukiza ukoma kwa kuwa mtagusana sana wakat wa tendo LA ngono na hii haiufanyi ukoma kuwa ktk kundi la magonjwa ya ngono.

Pia ugonjwa huu unatibika hospital kama yalivyo magonjwa mengne ya bacteria...dawa znazotibu zko tatu yaan dapsone,rifampicin na clofamazine in combination.

Je huko kwenu mnaamini ukoma husababishwa na njia zp?? Na je kuna ukweli ktk kuurithi ukoma?? Wajuzi wa afya na wasio wajuzi karbuni tujuzane kidogo.


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom