Mwanamke mwenye kipato na asiyenacho, yupi ni bora kwa maisha ya sasa?

Glenohumeral joint

JF-Expert Member
Oct 29, 2017
2,053
2,000
Hivi kati ya kuwa na mwanamke mwenye uwezo wa kutengeneza kipato chake mwenyewe ila hana heshima kivile, ana dharau yaani kukufokea haoni tabu na kuwa na mwanamke ambaye yeye fedha hana na uwezo wa kutengeneza fedha ni changamoto mpaka umuwezeshe kisawasawa ila kizuri chake ni kwamba anakuheshimu sana tu yaani hana nyodo au lugha mbovu zisizofaa.

Yupi ni mzuri kuoa kwa maisha haya ya saivi?
 

Da'Vinci

JF-Expert Member
Dec 1, 2016
29,453
2,000
Bora kuwa na huyu mkuu..
kuwa na mwanamke ambaye yy fedha hana na uwezo wa kutengeneza fedha n changamoto mpk umuwezeshe kisawasawa ila kizur chake n kwamba anakuheshimu
 

Kijana Mzeeeh

JF-Expert Member
Jul 1, 2015
288
500
Maisha magumu Mkuu! Chukua mwenye uwezo na hakikisha unampiga mimba mfululizo, dharau ataacha tu.
 

Glenohumeral joint

JF-Expert Member
Oct 29, 2017
2,053
2,000
hapo kuna utata unajua kuna mtu anakuheshimu sana japo hana pesa yoyote kila kitu unamfanyia na yy anakupa kile unachostahili kwa muda ni kwa sababu ya uchumi wake lakini akipata hela kidogo utashangaa hutaamin ka ni yy

NB sio wote
Bhc kaz IPO kwelkweli maana kuna nidhamu za woga mjini SKU hz
 

Mwaipungu

JF-Expert Member
Dec 20, 2011
293
250
HV kati ya kuwa na mwanamke mwenye uwezo wa kutengeneza kipato chake mwenyewe ila hana heshima kivile,ana dharau yaan kukufokea haoni tabu ...na kuwa na mwanamke ambaye yy fedha hana na uwezo wa kutengeneza fedha n changamoto mpk umuwezeshe kisawasawa ila kizur chake n kwamba anakuheshimu sana tu yaan hana nyodo au lugha mbovu zszofaa.....
Yupi n mzuri kuoa kwa maisha haya ya saiv jmn....
Kwenda na wakati si jambo baya ila ni changamoto kwa kweli. Ila swali lako ni zuri ila mke mzuri ni mke mwenye uelewa, heshima, hekima, busara na aliyefundwa na akafunzika. Pesa si kitu kama hekima, heshima, busara, uelewa na nk. Ktk maisha ya mwanadamu.
 

uwepo

JF-Expert Member
Jun 17, 2014
599
1,000
Huyo jamaa anampenda huyo wa kwanza mwenye pesa ila heshima hana huyo wa pili kwangu pakavu unapumzika tu wanaume wa saiv hawajui wanachotaka
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom