Glenohumeral joint
JF-Expert Member
- Oct 29, 2017
- 2,055
- 2,914
Sijajua hata lengo la uzi ni nini, mbona kawaida tu hiyo (ila mimi sipo hivyo)Kitu gani kimeshangaza?mbona kawaida kuwa hivyo
Sijajua hata lengo la uzi ni nini, mbona kawaida tu hiyo (ila mimi sipo hivyo)
Wewe joanah wewe unataka kusema nawewe upo hivyo?Kitu gani kimeshangaza?mbona kawaida kuwa hivyo
Mimi nakuwa ivo kwa malengo yanayokuwa mbele yangu kwa siku za usoni 🤣 🤣 🤣Sijajua hata lengo la uzi ni nini, mbona kawaida tu hiyo (ila mimi sipo hivyo)
Mtoa mada mwenyewe mtoto, rafiki ake mwenyewe mtoto, mambo gan hayo hayo adi kufowardiana msg wanazochat na mwenzieSasa cha ajabu nini? Inaonekana mnakutanaga na vimeo sana mpaka hiyo unaona inashangaza!
Kwa kweli! Na kufungua na uzi kabisa!Mtoa mada mwenyewe mtoto, rafiki ake mwenyewe mtoto, mambo gan hayo hayo adi kufowardiana msg wanazochat na mwenzie
Tanzania hiihii mkuuMkuu ni kenya upo or
Kwani nyie wakaka mnatuchukuliaje yaani, hiyo sms mbona kawaida tu tena kwa mtu na mumewe , msihisi tunapenda sana mizinga sasa ,mnaboaa