Glenohumeral joint
JF-Expert Member
- Oct 29, 2017
- 2,055
- 2,914
Nmesikitika kwa taarifa nilizozikuta huko mitandao mingne kwamba BASATA wamewataka Rostam waufute wimbo wao wa parapanda kwenye account ya YouTube...
Binafs hili baraza nahisi wanakoelekea n kuua kabisa sanaa ya muzik wa kizaz kipya..nmeusikiliza huu wimbo kama Mara kumi HV lkn sijaona makosa makubwa waliyofanya hadi kufikia hatua ya kuambiwa waufute huu wimbo Mara moja.....nmekereka sana na hili Baraza .....
NB:Kama hujaupakua Fanya fasta tu maana ngoma haitakuwepo YouTube soon.....