Search results

  1. msuyaz

    Shabibiy: Nilinunua basi langu la kwanza nikiwa na miaka 19. Asema mafanikio yake siyo ya kurithi

    Mjomba mm sio level zako kabisa...... Sent from my SM-A105FN using JamiiForums mobile app
  2. msuyaz

    Shabibiy: Nilinunua basi langu la kwanza nikiwa na miaka 19. Asema mafanikio yake siyo ya kurithi

    Mimi ni mkazi wa Gairo nimefanyakazi kwa Shabiby kwenye miaka 90 mwishoni. Jamaa ni mpambanaji hakuna uchawi wala pembe za ndovu. Shabiby aliacha shule kidato cha 2 akaingia shambani kulima mahindi huku akianzisha biashara ya kuuza mafuta kwenye videbe, mtaji ukakua akaanzisha kijisheli pale...
  3. msuyaz

    Kwanini wanawake wengi wanapenda kutembea na Mashoga?

    Ndege wanaofanana huruka pamoja Sent using Jamii Forums mobile app
  4. msuyaz

    Naomba msaada wa kimawazo kutokana na kupata alama hizi

    Kimoyomoyo unajuta,rudia paper Kama unania ya kusoma Sent using Jamii Forums mobile app
  5. msuyaz

    Dar es Salaam ni Jiji maskini zaidi Tanzania na SADC kwa ujumla

    Aliyekuambia maendeleo ya nchi hupimwa kwa Barbara ya six Lane or four Lane ni Nani? Sent using Jamii Forums mobile app
  6. msuyaz

    Mwambieni yule dogo aliechezea simba kutembea na mke wangu, Stamina hold on pls

    Asilaumiwe mchezaji wa Simba,alaumiwe Mke wa mshikaji.kwani mpaka amkubali kumvulia ch*pi huyo mchezaji hakujua ya kwamba ana mume ambaye wamefunga ndoa? Kwani huyo mwanamke angekataa yote hayo yangetokea? Labda useme alibakwa,acha kumlaumu mchezaji wa Simba mlaumu mkeo. Wanawake jitambueni...
  7. msuyaz

    Ukisoma Asia unarudi Bongo na stress tu

    Hivi ni kweli Dr shika Ana PHD kweli? Si ndio Yale ya mwanamuziki pekee mwenye PHD bongo,I mean Dr Remmy. Sent using Jamii Forums mobile app
  8. msuyaz

    Hivi hiki ndicho Kiingereza cha Profesa Ndalichako?

    Hivi mzungu akiongea kiswahili broken naye huwa anachekwa? Bongo kikubwa vyeti. English language imekuja na meli. Congole professor wangu kama mlikimbia umande shauri yenu. Sent using Jamii Forums mobile app
  9. msuyaz

    Kisutu: Kesi ya Erick Kabendera yaendelea. Jamhuri yaweka kisiki Erick kushiriki msiba wa mama yake mzazi

    Daaaah....yasikie kwa mwenzio Sent using Jamii Forums mobile app
  10. msuyaz

    Nahitaji mwanamke nimbikiri na nimuoe

    Utaingizwa mjini wewe,siku hizi wanawake wamekuwa wabunifu sana,KUNA BIKRA ZA KUTENGENEZA Sasa njoo kichwakichwa kama hujalizwa. Sent using Jamii Forums mobile app
  11. msuyaz

    WADADA KUINGIZA KIDOLE MDOMONI.

    Mm mgeni maeneo haya,wacha akinamama wajibu Hilo. Sent using Jamii Forums mobile app
  12. msuyaz

    Dkt. Magufuli, Rais Bora Afrika kwa mwaka 2019

    Kama nakuelewa vile. Sent using Jamii Forums mobile app
  13. msuyaz

    Starehe za Mlimani City na bei za ajabu ajabu

    Masikini tuna tabu sana, Sent using Jamii Forums mobile app
  14. msuyaz

    Kwanini Tanzania inapata idadi ndogo ya watalii japo ina vivutio vingi?

    Uchumi tunao lkn tunaukalia,Kuna nchi wanatangaza mlima Kilimanjaro ni wa Kwao,Cc tupo tu tumebung'aa. Hatujitangazi wazungu watatujua je? Sent using Jamii Forums mobile app
  15. msuyaz

    Kijana epuka ndoa na wanawake wenye kazi hizi

    Inategemea elimu yake Sent using Jamii Forums mobile app
  16. msuyaz

    Hivi humu Jf ni mimi tu niliyepo bongo?

    Nipo zangu maskani tandale kwa bi nusu.nakula zangu kuku Moshi huku nikishushia jamii forum Sent using Jamii Forums mobile app
  17. msuyaz

    Mama wa rafiki yangu ananitaka kimapenzi

    Mwambie atafute mzazi mwenzie. Achana naye anataka akuachie mikosi Sent using Jamii Forums mobile app
  18. msuyaz

    Kila mtu aoe/aolewe na mtu aliyesex naye mara ya mwisho

    Kwanza yaani miaka 30 ingenihusu Mungu epusha janga Hilo. Sent using Jamii Forums mobile app
  19. msuyaz

    AZAM MILK, artificial au maziwa halisi?

    Akili Za kuambiwa changanya na za kwako. Sent using Jamii Forums mobile app
  20. msuyaz

    Inauma sana, Top 10 ya BBC nyimbo 5 za mwanzo Diamond yumo

    BBC ni staffs Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom