WADADA KUINGIZA KIDOLE MDOMONI.

Brown kulax

Member
Oct 20, 2019
17
8
Wakuu habari za mapumziko!
Ni mara nyingi nimeshuhudia wadada kuingiza vidole midomoni mwao wakati wa majambozi. Nilitamani kuwauliza ila moyo unasita! hebu wadau mkaribie tusaidiane kujua kuna connection gani kati ya tendo na KIDOLE mdomoni? huwa wana feel nini kufanya ivyo!?
 
Hizi curiosity hizi' Mdada hata awe anafanyaje cha msingi awe anafurahia, ukianza kutaka kujua nn kinawapelekea wao kufanya wanavyofanya utakuja jikuta sehemu ya ajabu.
 
ingekuwa vzr ungemuuliza/waulize hao unaowaona, mana mimi ni manamke lakini hili ndo kwanza nalisikia kwako
 
Mrsleo.Nimeshindwa kuuliza kule kwenye uhalisia, kwakua nimekutana navyo zaidi ya mara 1 nikajua vipo vingi nje ya hao waliofanya hivyo. ninaamini kama si kwako kwa wengine vipo ndio nikawaza kujua how do they feel to do such a thing.
 
Itakuwa wewe huwaridhishi huenda ni kibamia mimi mbona wa kwangu hafanyi hivyo
Wakuu habari za mapumziko!
Ni mara nyingi nimeshuhudia wadada kuingiza vidole midomoni mwao wakati wa majambozi. Nilitamani kuwauliza ila moyo unasita! hebu wadau mkaribie tusaidiane kujua kuna connection gani kati ya tendo na KIDOLE mdomoni? huwa wana feel nini kufanya ivyo!?
 
Itakuwa wewe huwaridhishi huenda ni kibamia mimi mbona wa kwangu hafanyi hivyo
japo mara nyingi watu ni wagumu kutoa jibu ndio kwa maoni yako lakini kwangu ni hapana! maoni ya wadada ni muhimu kwenye mada hii kwakua wao wanajua vema sababu.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom