EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,713
- 35,544
- Thread starter
- #101
Nilisoma vibaya sikuelewa imebidi nifute comment wa mara ya mwisho hapana aisee
Sent using Jamii Forums mobile app
Nitamkana mbele ya baraza la mashahidi. Achana na genye, the next day unajiuliza ulikuwa unawaza nini.
nitake radhi mkuu, tangia lini mwanamke akamtongoza mwanaume?
Kama alipigwa together as one (mtungo) na masela kama watatu ataolewa na yupi.... Au watamuoa wote
Kwanza kabsa nishukuru kwa picha safi uliyoweka
Hii sread moton direct
Sent using Jamii Forums mobile app