Papaa Gx
JF-Expert Member
- Oct 10, 2016
- 10,429
- 16,296
Ngoja waje kukupa muongozo
Naona umejaa tele na wenzako mnachangamkia fursa.
Ila mtaolewa tu
Naona umejaa tele na wenzako mnachangamkia fursa.
Ila mtaolewa tu
i love you
Dogo kuwa na heshima kwa shemeji yako. Kenge weweNimekupenda bure, fanya kuni pm ili tuyajenge.
Dogo kuwa na heshima kwa shemeji yako. Kenge wewe
Nami natafuta mke.Mie ninayo ila ungesema ndoa kwanza ningekupm siwez kutoa usichana wangu bila ya ndoa wengi hatupendi kuzin nikushaur sema hvi mke bikra anaitajika ukigundua cyo bikra unamuacha siku hyo hyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Tulia niko na mtoto Pm namuhamishia whatsapp sasa hivi.Unapenda kitonga kama yule kenge mwenzako. Kunguni wewe
Nimecheka kwa sauti kubwa sana daaahUnapenda kitonga kama yule kenge mwenzako. Kunguni wewe
Mie ninayo ila ungesema ndoa kwanza ningekupm siwez kutoa usichana wangu bila ya ndoa wengi hatupendi kuzin nikushaur sema hvi mke bikra anaitajika ukigundua cyo bikra unamuacha siku hyo hyo
Sent using Jamii Forums mobile app
Fafanua vizuri mtaniChifyono ngoja nikupe maarifa kidogo.. Epuka kuoa bikira.. Hiyo ni hatua katika makuzi.. Bikira ni sawa na tufaa lililokomaa lakini halijaiva....
Jr
Sio dume hiloNaona umejaa tele na wenzako mnachangamkia fursa.
Ila mtaolewa tu