Drizzle
JF-Expert Member
- Nov 12, 2019
- 4,858
- 14,732
Twende kwa Mandela au Ulaya.
Maana nina Escape Plan haruki mtu.
Bongo raha lunch ya buku pale Uhasibu kwenye mabanda unakula mpaka unafungua vifungo, ikifika usiku kibaharia umepita Tabata Mwananchi pale kwa J4 kuna pilau la buku unakula mpaka unahisi unamuibia.
Wewe unataka Ulaya ukale Pizza na American Burger.
We Namtumbo unapajua lakin?Mshukuru Mungu upo daslam, mimi niko Namtumbo huku!
Namtumbo nimepaishi sana mimi jamaniWe Namtumbo unapajua lakin?
Naachaje kupajua na ndiko niliko...Lusewa, Mgombasi, Mkongo, Msindo, Rwinga na kwingineko meishi sana!We Namtumbo unapajua lakin?
HahahahaBongo raha lunch ya buku pale Uhasibu kwenye mabanda unakula mpaka unafungua vifungo, ikifika usiku kibaharia umepita Tabata Mwananchi pale kwa J4 kuna pilau la buku unakula mpaka unahisi unamuibia.
Wewe unataka Ulaya ukale Pizza na American Burger.
Naachaje kupajua na ndiko niliko...Lusewa, Mgombasi, Mkongo, Msindo, Rwinga na kwingineko meishi sana!
HahahahahaAliekusimulia mwambie akusimulie tena
Huo ndio uwezo wako wa kufikiriFaiza yupo Canada,diaspora yupo USA wengine Dubai ,wengine wanaishi kwenye yatch huko bahamas ,wengine South Africa,wengine wamezamia canada..
Halafu sasa ukija kwenye vyuo hamna aliesomea bongo(kasoro wale Wa Uzi Wa masihara) wengine wote wamesoma UK,Russia,states,India,Netherlands
Mpaka daah nahisi mimi tu sijatia.guu nje ya nchi au Jf kwenye playstore ya bongo haipatikani??
Naijua Ruvuma kuanzia nje mpka ndan...Hahahahaha
Wewe uko daslam eeehhh!! Huwezi pawaza Namtumbo kabisa
Tatizo sio kupajua, kupaishi!Naijua Ruvuma kuanzia nje mpka ndan...
Kuanzia Mletele, Namabengo, Namtumbo all the way to Tunduru
Ukija huku Bombambili Msamala mshangano Mitawa Mliayoyo all the way to Njombe
Haya sasa huku Peramiho kigonsera Likuyufusi Mbinga mpaka Nyasa wapi unafikri sipajui.
Ha ha ha ha endlea kuniangalia kwa waswas...Tatizo sio kupajua, kupaishi!
Sawa Mr Bonny!!Ha ha ha ha endlea kuniangalia kwa waswas...